Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Huyu mama uwezo wake ni pungufu sana tena mchache hajiwezi kbs sio mara moja kukabiliana nae kikazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walitengwa sana kwa miongo mingi, wacha sasa wabalance, maaana hii inchi ni yetu sote lazima ijengwe na watanzania wote.Wazee wa Bakwata Wanaupiga Mwingi Mnooo
Ametengua nani? Si umeambiwa nafasi ilikua wazi au ulitaka asiwepo mkurugenzi mkuu?# katiba mpya
# katiba mpya
# katiba mpya
Raisi apunguziwe majukumu kwa kweli, naona Ni mwendo wa tengua teua Kila wiki!
Kule zanzibar hatari sanaAwamu hii waislamu wanaula
Mbona hana PhD? au zama zao kwishney? Steve Nyerere piga jaramba uwaziri nafasi moja ipo waziRais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE)
Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
View attachment 1909697
Mbona kafanana na Samia kila kitu?
Tunaoshwali ijumaa😍Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE)
Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
View attachment 1909697
Either,uwe Muislam au Mwanamke.Wanaume tutakoma awamu hii.Awamu hii waislamu wanaula
Ni coincidence tu imetokea but angetokea Nafasi hiyo ya yupo Mkristo halafu mwanaume believe me asingepewa.Wacha weee,na udini wako binadamu wenzio unawaona kama mavi vile.
Amekua mkurugenzi msaidizi cheo cha pili baada ya mkurugenzi mkuu,hyo CV wala hukutaka ila macho y'all ya moyoni yakaangalia jina na akili yako ikaingiza udini ndani yake.
Ila ni kawaida mbona,Wacha twende hvyohvyo na wapuuzi wachache kama nyinyi
Ninegundua wakristu wana udini na dhihaka zaidi Kwa waislamu kuliko the other way roundBibi ushungi
Moja ya sifa ya mwanadamu ni uwezo wake wa kutunga hadithi. Dini ni moja ya manifestation ya uwezo huo.Unamaanisha kitu gani mkuu?
Miaka Mia tano baada ya Nabii Issa pale Maka hapakuwa mtu aliyejua kusoma wala kuandika isipokuwa mtu mmoja aitwaye Aboubakari
Mtu Mohamed hakujua kusoma wala kuandika pale Maka
Qurani ilikuwa ikiandikwa na Aboubakar wakati huo
Uislam ni imani iliyokuja miaka Mia tano baada ya Yesu Kristu
UHINDU na Imani za kihindi zina miaka mingi kuliko ukristo na uislam
Sasa Kafiri ni yule asiyejua historia za dini hizi yaani uislam na ukristo au Kafiri unamaanisha kitu gani?
Afghanistan wale Talibani ni waislam au wakristo?
Alshabab ni waislam au wakristo?
Yule wa jana Salender ni muislam au mkristo?
Isis na Mujahdina ni waislam au wakristo?
Unafahamu kwanini hawa watu wana tabia hizo
Njoo inbox ufundishwe mambo, Mambo wanayofanya waislam Leo, Kanisa katoliki lilishayafanya sana hapo kale, Kanisa liliua, Kanisa lilitesa wote waliolipinga
Kanisa lilisema dunia ni tambarare kama meza, Waliopinga kanisa walidhibitiwa
Ukijua historia ya hizi dini utaanzisha kanisa lako au msikiti wako na utajiita Mtume, shekhe au Nabii
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawaamini ya kwamba katika kuueneza ukristo watu wengi Sana waliuawa, wakristo wa enzi hizo waliwaua wayahudi wengi Sana kwa kuwatuhumu ya kwamba walimuua yesu, crussad watu hawaijui. Uislamu na ukristo umeangamiza watu wengi Sana katika kuenea kwake, sijui ndiyo mungu aliwatuma kuua watu wengineUnamaanisha kitu gani mkuu?
Miaka Mia tano baada ya Nabii Issa pale Maka hapakuwa mtu aliyejua kusoma wala kuandika isipokuwa mtu mmoja aitwaye Aboubakari
Mtu Mohamed hakujua kusoma wala kuandika pale Maka
Qurani ilikuwa ikiandikwa na Aboubakar wakati huo
Uislam ni imani iliyokuja miaka Mia tano baada ya Yesu Kristu
UHINDU na Imani za kihindi zina miaka mingi kuliko ukristo na uislam
Sasa Kafiri ni yule asiyejua historia za dini hizi yaani uislam na ukristo au Kafiri unamaanisha kitu gani?
Afghanistan wale Talibani ni waislam au wakristo?
Alshabab ni waislam au wakristo?
Yule wa jana Salender ni muislam au mkristo?
Isis na Mujahdina ni waislam au wakristo?
Unafahamu kwanini hawa watu wana tabia hizo
Njoo inbox ufundishwe mambo, Mambo wanayofanya waislam Leo, Kanisa katoliki lilishayafanya sana hapo kale, Kanisa liliua, Kanisa lilitesa wote waliolipinga
Kanisa lilisema dunia ni tambarare kama meza, Waliopinga kanisa walidhibitiwa
Ukijua historia ya hizi dini utaanzisha kanisa lako au msikiti wako na utajiita Mtume, shekhe au Nabii
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kitu gani mkuu?

Mkuu asante kwa hoja nzito!Unamaanisha kitu gani mkuu?