UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji108][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
walitengwa sana kwa miongo mingi, wacha sasa wabalance, maaana hii inchi ni yetu sote lazima ijengwe na watanzania wote.
Hongera sana Rais wetu Mama Samia.
Tupo pamoja na wewe.
Wala mama asilaumiwe kwa udini, huenda hajui hata hilo jina kapewa tu na yeye kalikubali.

Hussein Katanga ndo kila kitu.Ndo kichocheo cha ubaguzi wote
 
# katiba mpya
# katiba mpya
# katiba mpya

Raisi apunguziwe majukumu kwa kweli, naona Ni mwendo wa tengua teua Kila wiki!
Mmmh! Wanadamu hatujawahi kuridhika kwa lolote!!!! IKINYESHA MVUA TWATAKA JUA NA LIKIWAKA JUA TWAHITAJI MVUA
 
Nakiri kusema tuna safari ndefu sana. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Wewe pekee waijuwa kesho yetu sisi watanzania. Tuna watu wana akili sana hili taifa ila wote wamefunga vinywa vyao. Je kesho yetu itakuwaje. Wewe wajuwa Baba. Zaidi twawaombea hekima na akili walio ktk madaraka. Amen.
yaani haya maigizo yako ni kwa sababu Tu kateuliwa mtu wa dini tofauti na yako?
 
Exctly, na Wakristo wanamchukia Rais sababu ya dini yake tu, wanataka teuzi zote wateuliwe wao tu, hata Gwajima taperi, hizo kelele zake zotee,sababu Rais Ni muislamu, walitaka awe kafiri mwenzao hapo sawa,
Samia tunae Hadi mwaka 2035, asiyetaka ahame nchi, na akitoka muislamu,anaingia Tena muislamu
Subirini Hamza mwingine atokee ndiyo upangu pakavu tiamchuzi utakapo ishia
 
Acheni kuongelea mambo ya udini
Kama mtu huna Cha kuongea nyamaza
Kama mtu anaelimu yake na anaonekana ana uwezo Kwa nini asiteuliwe kisa dini yake?
Watu wajinga msituvuruge
 
Ukicheki sura nikama hajui biashara yoyote sijui Shungi ndo limembeba?? Hii mambo ya fifte fifte itatukosti
 
Ukicheki sura nikama hajui biashara yoyote sijui Shungi ndo limembeba?? Hii mambo ya fifte fifte itatukosti
Mtu mwenye ushungi hajui mambo ya biashara? Sura nacho ni kigezo za mtu anayejua biashara? Amekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu muda mrefu huoni kuwa huo uzoefu ndio unambeba? Mods thread za namna hii zinapandikiza udini, zio za ku-entertain.
 
Ukicheki sura nikama hajui biashara yoyote sijui Shungi ndo limembeba?? Hii mambo ya fifte fifte itatukosti
Mtu aliteuliwa naibu mkurugenzi na amekuwa kwenye nafasi hiyo kwa miaka zaidi ya mi3, leo unasema kwamba hajui biashara ... kiufupi UNADHARAU sana
 
Mtu aliteuliwa naibu mkurugenzi na amekuwa kwenye nafasi hiyo kwa miaka zaidi ya mi3, leo unasema kwamba hajui biashara ... kiufupi UNADHARAU sana
No ninaukweli Sana! Ikifika 2025 mtanikumbuka. Uteuzi mwingi wasasa unafanyika kihisia zaidi kuliko uwezo. Assad alisema vizuri 70% ya viongozi wetu hawana uwezo. Mtaalam wa biashara ukimwona tuu unamwelewa pia Kuwa msaidizi nitofauti na kuiongoza.
 
Kwa hiyo magufuli alikosea kumteua naibu mkurugenzi?
 
Mtu mwenye ushungi hajui mambo ya biashara? Sura nacho ni kigezo za mtu anayejua biashara? Amekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu muda mrefu huoni kuwa huo uzoefu ndio unambeba? Mods thread za namna hii zinapandikiza udini, zio za ku-entertain.
nitajie mwanamke mfanyabiashara bora afrika especially mwislam?? dini yake haitoi sana nafasi kwamwanamke kujua biashara nahiyo ni fact!! Haoneshi Kama mtu sharp na exposed angeweza kuwa mkurugenzi afya huko sio biashara ilojaa wajanja,wahuni,maharamia,matapeli wakimataifa
 
Back
Top Bottom