UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE)

Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE

 
Nakiri kusema tuna safari ndefu sana. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Wewe pekee waijuwa kesho yetu sisi watanzania. Tuna watu wana akili sana hili taifa ila wote wamefunga vinywa vyao. Je kesho yetu itakuwaje. Wewe wajuwa Baba. Zaidi twawaombea hekima na akili walio ktk madaraka. Amen.
 
We are confused as a nation; likitokea baya linashangiliwa, teuzi inapingwa, mtu akikataa chanjo hata kama sio mwanasayansi anaonekana "hero".

Nadhani watanzania tunatakiwa ku-update vichwa vyetu, wakati serikali ikifanya haraka kuondoa Tozo, vingnevyo miaka miwili ijayo hili taifa litaongoza kwa kuwa na vichaa wengi duniani.
 

Awamu hii waislamu wanaula
Udini ni ukichaa ndani ya vichwa vya wapumbavu......

#NchiKwanzaKablaYaChochote
 
Waafrika tuna safari ndefu sana ya KUJITAMBUA VYEMA NA KUITAMBUA DUNIA......

Wenzetu wanaongelea UBUNIFU wazidi kuishi vyema sisi tunaangaliana WAJIHI ,DINI NA MAKABILA duuuh 🤣🤣
 
We are confused as a nation; likitokea baya linashangiliwa, teuzi inapingwa, mtu akikataa chanjo hata kama sio mwanasayansi anaonekana hero, nadhani watanzania tunatakiwa ku-update vichwa vyetu, wakati serikali ikifanya haraka kuondoa Tozo.
a leading shithole country .....Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…