UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

Kazi kwelikweli, iko Safari ndefu ya kuuchapa mguu na bahati mbaya wengi tu wajinga wa kutupwa...
 
Hongera kwake.
, sasa ni muda wa kuchapa kazi, usibabaishwe na majungu na fitina,
puuza chapa kazi kwa masilahi ya nchi.
Rais amekuamini inatosha na unatosha.
 
Wazee wa Bakwata Wanaupiga Mwingi Mnooo
walitengwa sana kwa miongo mingi, wacha sasa wabalance, maaana hii inchi ni yetu sote lazima ijengwe na watanzania wote.
Hongera sana Rais wetu Mama Samia.
Tupo pamoja na wewe.
 
# katiba mpya
# katiba mpya
# katiba mpya

Raisi apunguziwe majukumu kwa kweli, naona Ni mwendo wa tengua teua Kila wiki!
Ametengua nani? Si umeambiwa nafasi ilikua wazi au ulitaka asiwepo mkurugenzi mkuu?
 
Mbona hana PhD? au zama zao kwishney? Steve Nyerere piga jaramba uwaziri nafasi moja ipo wazi
 
Ni coincidence tu imetokea but angetokea Nafasi hiyo ya yupo Mkristo halafu mwanaume believe me asingepewa.
 
Bibi ushungi
Ninegundua wakristu wana udini na dhihaka zaidi Kwa waislamu kuliko the other way round

watanzania wenzangu, maichukulie Poa sana hizi sentiments za udini

Na mitandao ya jamii ndio kinara wa hizi propaganda
 
Moja ya sifa ya mwanadamu ni uwezo wake wa kutunga hadithi. Dini ni moja ya manifestation ya uwezo huo.
 
Si alikuwa naibu wake? Angetoka nje pia si ingekuwa haijakaa poa kama naibu ana uezo jamani? Si promotion within? Kwa nini ionekane kitu tata?
 
Watu hawaamini ya kwamba katika kuueneza ukristo watu wengi Sana waliuawa, wakristo wa enzi hizo waliwaua wayahudi wengi Sana kwa kuwatuhumu ya kwamba walimuua yesu, crussad watu hawaijui. Uislamu na ukristo umeangamiza watu wengi Sana katika kuenea kwake, sijui ndiyo mungu aliwatuma kuua watu wengine
 
Mkuu asante kwa hoja nzito!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…