SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ni zamu yetu Wazanzibari asiyetaka ahamie BurundiRais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE)
Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
View attachment 1909697
Kuna haha ya kuwa na majina mchanganyiko mf Mohamed John Musa,maana watawala wengine mnnh.Awamu hii waislamu wanaula
Kila la kheri Bi. Latifa kwa majukumu mapyaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE)
Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
View attachment 1909697
Bado sijakuelewa mzee fungukaNakiri kusema tuna safari ndefu sana. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Wewe pekee waijuwa kesho yetu sisi watanzania. Tuna watu wana akili sana hili taifa ila wote wamefunga vinywa vyao. Je kesho yetu itakuwaje. Wewe wajuwa Baba. Zaidi twawaombea hekima na akili walio ktk madaraka. Amen.
Simple sana. Badili dini tuu unaula na wewe.Awamu hii waislamu wanaula
Usijiulize yote ni chuki tuu isiyo na sababu za msingi.Si alikuwa naibu wake? Angetoka nje pia si ingekuwa haijakaa poa kama naibu ana uezo jamani? Si promotion within? Kwa nini ionekane kitu tata?
Wamepumzika chato.mtu kwaoAkina Maduhu, Mchembe... wako wapi siku hizi?
Mkuu 'macho', ingependeza zaidi kama wasifu wake ungeambatana na picha yake.
Tuacheni Unafiki hata Sisi Wakristo ( hasa Wakatoliki ) wakati wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tuliula mno tu hivyo tuwe Wapole kwani Kutesa huwa ni kwa zamu.Awamu hii waislamu wanaula
Haya unapashwa kuwaeleza hao wanaoteuwa, yanawahusu sana.Wenzetu wanaongelea UBUNIFU wazidi kuishi vyema sisi tunaangaliana WAJIHI ,DINI NA MAKABILA duuuh 🤣🤣
Pesa za kujenga barabara visiwani zishatumwa kutoka bara kwenda visiwani?
Kufa jiue, mna chuki Sana na uislamu nyie makafiri, mnataka mteuliwe nyie tu,washenzi wakubwa, na mnamchukia Rais sababu ya dini yake dog type nyieAnother Muslim NO NO No
Ulitaka ateuliwe mwenye asili ya katoliki???Naona ana asili ya akina Hamza
Makafiri mna chuki Sana na uislamu ken,nge nyinyi, mnataka kila nafasi mteuliwe nyie tuEither,uwe Muislam au Mwanamke.Wanaume tutakoma awamu hii.
Exctly, na Wakristo wanamchukia Rais sababu ya dini yake tu, wanataka teuzi zote wateuliwe wao tu, hata Gwajima taperi, hizo kelele zake zotee,sababu Rais Ni muislamu, walitaka awe kafiri mwenzao hapo sawa,Uongozi wa Jamii forums uwe makini na uzi zenye masuala ya udini Kama huu.Tusipojenga ufa tutajenga ukuta.
Kila Mtanzania ana haki ya kuteuliwa ili mradi awe na sifa,masuala ya dini tuyaepuke ndugu zangu tutende mema hapa Duniani tunaishi kwa muda mfupi sana,tujitahidi tuwe na matendo mema.
Ni Mimi ndugu yenu katika bwana wetu Yesu Kristi.
Toa kafir weka gaidi