Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Ummy Mwalimu kutokewa wizara ya afya ni jambo zuri,ili watu tuweze kuwa na imani zaidi na hizi hospitali.
 
Watajua wenyewe na teua na Tenguzi zao , hatutoki kwenye mstari safari hii, kwa ukatili waliofanyiwa chadema
 
Sasa kwa nini aliwatoa? Mbona anarudi kule kule kwa timu Magufuli
Alidanganywa na kuwatoa watu wema na kuwarudisha wezi lipuyanga kutoa watu wa kazi Takukuru, Ofisi Dpp na ofisi ya Mwanasheria mkuu hizi ndizo Taasisi zina pambana na wezi na wahujumu uchumi, sasa yeye alidanganywa na Msoga akaweka watu ili wawatoe mafisadi, huyu Mkurungenzi wa Takukuru tokea angle Madarakani hajawai kumstaki mtuumiwa yoyote wa ufisadi nchi hii na mafisafi wapo wanatamba tu, kazi yake ilikuwa kutangaza wameokoa billion Mia ukimwambia azionyeshe zilipo hajui zilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…