johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Note:Mwigulu Nchemba amesalimikaje , au britanicca alitudanganya
Note:Ummy Mwalimu out!
britanicca hongera, uliandika wiki 2 zilizopita kuwa huyu atamwagwa.
Bado Mwigulu Nchemba yumo
HATA JAMAA YENU MWENDAZAKE ALIKUWA ANATEUA NA KUTUMBUA KILA SIKU,NA MLIKUWA MNASHANGILIA,SASA KINACHOWAFANYA SASA HIVI MCHUKIE NINI??TULEINI MWACHENI SAMIA AFANYE KAZI,TULIENI.Hiki ndio tunakiweza kama nchi, hamna jipya.
Nikikumbuka maneno ya profesa Tibaijuka alikuwa sahihi
Tatizo Profesa treatment anaongea sana, angekuwa kimya pengine angesharudishwa kwenye barazaHiki ndio tunakiweza kama nchi, hamna jipya.
Nikikumbuka maneno ya profesa Tibaijuka alikuwa sahihi
Acha uongo,toka lini Waziri akaandika proposalHutokuja kuona huyu anatolewa hapo kwani hakuna Mtu anayejua Kuandika vyema Proposals za kupata Hela kwa Wazungu ambazo Mama anazipata kwa haraka kama Nchemba na Mama anamkubali hasa kwa hilo.
Kwahiyo kumbe jamaa anatuongopea sana humu πππππ€£π€£π€£π€£π€£Acha uongo,toka lini Waziri akaandika proposal
Kinachowasumbua utendaji wao au Chadema? Mbona mnateseka sana?Sasa ni rasmi Samia amekiri alidanganya sana Kuhusu JPM. Wale wote JPM aliwatafuta wamerudishwa. Kabudi, Makonda, Lukuvi, Hapi Asante mama kwa kukataa Fitna za akina Nape na Makamba
Ulivyoolewa aliyekuoa hakukuandikia Proposal?Acha uongo,toka lini Waziri akaandika proposal
Mimi namjua raisi wa nchi anayepanga na kupangua ww nani bana mpaka nikufahamuUnanijua Mimi personally mkuu!?
Aliwahi kuwa Naibu Jaji Mkuu?Jaji Feleshi...Jaji Mkuu ajaye, mtaniambia.