Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Sasa ni rasmi Samia amekiri alidanganya sana Kuhusu JPM. Wale wote JPM aliwatafuta wamerudishwa. Kabudi, Makonda, Lukuvi, Hapi Asante mama kwa kukataa Fitna za akina Nape na Makamba
Binafsi naona rais anaweka watu sasa kumsaidia kiukweli ukweli. Nadhani mwanzoni alikuwa kwenye panic mode na kulishwa maneno. Hongera sana kwa Rais.
 
Nilipoona tu Wiki iliyopita Rais anamsifia katika Ukumbi fulani nikajua kuna Bomu alishaliandaa na alikuwa Anamzuga tu Kinafiki na leo kamaliza Shughuli. Ogopa sana Rais akikusifia kwani huwa ni Kinyume chake.
Hawa mawaziri wangekuwa watu wenye fani husika, vinginevyo ni washkaji wanapeana michongo ya kusurvive tu
 
Back
Top Bottom