Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Dah!....
 
Ummy Ilikua suala la muda alishajichanganya wabaya wake wakamrekodi, pembeni alikua akisema huyu mama akiendelea hivi bora 2025 waende na zumbe(akimaanisha february)
Duh,ya kweli haya!?..siyo wabaya wake bali wazee wa kitengo,hufikisha zuri na baya
 
“Dkt. Ally Saleh Possi ameteuliwa kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Possi alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya UchukuzI”.

Huyu mwanasheria alikuwa uchukuzi😀

Vyeo vya kupeana.

Sarakasi tu hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…