Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Dah Ummu Mwalimu jaman
 
. Dkt. Ally Saleh Possi ameteuliwa kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Possi alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya UchukuzI.

Huyu mwanasheria alikuwa uchukuzi😀

Vyeo vya kupeana.

Sarakasi tu hizi.
Hawa watoto wa Posi wanambeleko kubwa sana ingawa wapo vizuri upstairs pia Abdalla na Ally, Pongezi kwao.
 
ni katika kuboresha utendaji wa serikali na kuimarisha utoaji huduma na kuchochea maendeleo kwa wanainchi Dr.Samia Suluhu Hassan, rais, na kipenzi cha waTanzania anafanya uteuzi na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa viongozi waandamizi wa wizara, taasisi, idara na mamlaka mbalimbali za umma...

Asanti sana mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan. nawatakia wateule wote kila la kheri katika majukumu na kazi zenu mpya. Rais ameawaamini sana, tafadhali mwende mkafanye kazi kwa weledi na bidii kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Tunajua kesho watakuja na kituko kingine ilimradi watutoe kwenye mjadala wa kitaifa.....hapa hatudanganyiki Hadi Yule polisi mauaji anapandishwa kizimbani
 
Kabudi amerejea kwakua serikali zinapigwa faini sana,baadhi ya mikataba alikuwepo enzi za jiwe so atasaidia wapi wenzie walipokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…