Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Sakata la NHIF na Malalamiko limeondoka na Ummy Mwalimu Kudadadeki.
Fuatilia thread moja ya britanicca alitabiri waziri wa mapingili shingoni ataondoka na akina Na_pe na Marope.
Huyu aliachwa awamu ile wenzie walipo liwa kichwa.
Alisema wapo kwenye genge moja la maandalizi ya kumuondoa chair holder wa revolutionary party.
 
Nimeangalia umejoin lini JF nimegundua wewe ni mgeni humu ndani na unaye mzungumzia haumfahamu kabisa?
 
Mkuu bongo hakuna meritocracy inategemeana na mtauaji ameamkaje.
😂😂Meritocracy aliipigia kelele sana Much Msigwa na Wenje lakini Leo Msigwa ndo Kawa mpu....
Wanasema nafasi kuu za Uongozi anakaa kiongozi tu 😂😂 ila Utendaji ndo Meritocracy inazingatiwa ref teuzi za makatibu wakuu
 
Recycling! Ujinga wa Tanganyika unafanya watu wachache sana wawe recycled! Kabudi, Lukuvi, Kairuki Jenister... Nape na January wapo recycling bin 😀😀😀 Watarudi! CCM ya Hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…