Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Lucas Mwashambwa unakwenda wizara gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama si lazima kufanana utashi,walalama nini!?Wapiuzi hamkosekani, si lazima watu kufanana utashi
Kabudi mgogoSukuma gang imerudi
Mama kaona Msoga wanataka kumgeuka 2025 wasimamishe mgombea wao
Fuatilia thread moja ya britanicca alitabiri waziri wa mapingili shingoni ataondoka na akina Na_pe na Marope.Sakata la NHIF na Malalamiko limeondoka na Ummy Mwalimu Kudadadeki.
ExactlyFuatilia thread moja ya britanicca alitabiri waziri wa mapingili shingoni ataondoka na akina Na_pe na Marope.
Huyu aliachwa awamu ile wenzie walipo liwa kichwa.
Alisema wapo kwenye genge moja la maandalizi ya kumuondoa chair holder wa revolutionary party.
Ohoo Sukuma gang sio wasukuma ndugu ni team magufuli hao bado Job kurudi tu hapoKabudi mgogo
Nimeangalia umejoin lini JF nimegundua wewe ni mgeni humu ndani na unaye mzungumzia haumfahamu kabisa?Matango yapo taarifa za kweli zipo na uongo. Kuna mjomba wa kuitwa Tanzania abroad yeye huanza na tetesi nyingi na matango yapo hata britanica huchukua za huyo. Kama sio mtu mmoja basi britanica humkopi huyo zote ulizoona huku alianza kuandika huyo Tanzania abroad huko X
Hivi wewe ndo Samia mwenyewe au?Exactly
😂😂Meritocracy aliipigia kelele sana Much Msigwa na Wenje lakini Leo Msigwa ndo Kawa mpu....Mkuu bongo hakuna meritocracy inategemeana na mtauaji ameamkaje.
Umesema mawaziri huteuliwa kikanda, kweli si kweli?Nyi ndiyo mliofanya watu wa maana wahamie twitter,wapi mi nimesema hayo madai yako!?
Na kuhusu Toto Penda piaMwigulu Nchemba amesalimikaje , au britanicca alitudanganya