Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Hutokuja kuona huyu anatolewa hapo kwani hakuna Mtu anayejua Kuandika vyema Proposals za kupata Hela kwa Wazungu ambazo Mama anazipata kwa haraka kama Nchemba na Mama anamkubali hasa kwa hilo.
Sio sababu hiyo,Tunakopesheka sababu sera zetu za kimataifa zinaendana na WB na IFM + hao watoa mikopo.
Pili deni letu ni himilivu,Ukiona pesa imetoka leo ya mkopo ni maombi ya Muda sanaa,

BRT aliomba Kikwete tangu awamu wake ya kwanza mwishoni tukapata mwanzo wa awamu yake ya Pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…