Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
CHADEMA ina viongozi?Hatutoki kwenye lengo kuu la PoliCCM kujeruhi viongozi wa CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA ina viongozi?Hatutoki kwenye lengo kuu la PoliCCM kujeruhi viongozi wa CHADEMA.
Sio sababu hiyo,Tunakopesheka sababu sera zetu za kimataifa zinaendana na WB na IFM + hao watoa mikopo.Hutokuja kuona huyu anatolewa hapo kwani hakuna Mtu anayejua Kuandika vyema Proposals za kupata Hela kwa Wazungu ambazo Mama anazipata kwa haraka kama Nchemba na Mama anamkubali hasa kwa hilo.
Naona wizara imeamua kujilipua
Acha uongo kama hujui uwe unakaa kimyaaHili nawaambiaga sana watu mwigulu pale fedha ndio mleta fedha za misaada hapa bongo.
I agreeJaji Feleshi...Jaji Mkuu ajaye, mtaniambia.
Haelewi huyo kuwa "push gang" ni "team stone".Ohoo Sukuma gang sio wasukuma ndugu ni team magufuli hao bado Job kurudi tu hapo
Umemaliza na Topic Closed Mkuu.Hili nawaambiaga sana watu mwigulu pale fedha ndio mleta fedha za misaada hapa bongo.
Mbona January Makamba alikuwa Wazir wa Nishat hukusema wapi na wapi?Nashindwa kuelewa Jenister na afya wapi na wapi!!
Huyo hakuna wizara anashindwaNashindwa kuelewa Jenister na afya wapi na wapi!!
Unajuaje sikusema.....Mbona January Makamba alikuwa Wazir wa Nishat hukusema wapi na wapi?
Labda kamuweka kimtego Tu, maana Maza alitaka kumtoa jenista kitambo Tu, uzuri Maza wanafiki wake wote anawafahamu, so ni kete TU zinasukumwaNashindwa kuelewa Jenister na afya wapi na wapi!!
Na mm naona sukuma gang ndo wabaya sana wamejaa kinyongoUteuzi huu unamaanisha kuwa mama anahama kutoka kundi la "Wema Hawafi" kwenda "Sukuma gang".
Kwanza Huyo Mama anapewaje wizara nyeti kama hiyo wakati upstairs hayuko vizuri?Nashindwa kuelewa Jenister na afya wapi na wapi!!