Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

1.Mshauri wa mama maswala ya siasa kuna namna anamkosea na anampa wrong directives. Recycle ya kabudi na lukuvi ni pointless. Nchi inataka damu changa.

2. Mama apunguze kuteua watu ambao hawana uwezo ili asiteseke kuwaficha peripheral huko, the likes za kina Manumba ni watu ambao ni proven kabisa hawana uwezo.

3. Demotion za ma afisa wa juu wa Jeshi na Takukuru kuwaweka kwenye nafasi za kisiasa hazijakaa sawa. Bora awape ubalozi tu.

4. Naona Mhagama aliyekuwa anaandaliwa kuwa female PM ameshindwa kukivaa kiatu vizuri. Lukuvi might be the next PM.

5. Mawaziri wameletewa vipenyo kutoka jumba jeupe waje wakusanye taarifa za uendeshaji wa wizara zao na ziende ikulu unfiltered.
 
Kazi imeanza kama watabiri wa jf walivyosemaaa ,TENGUA TEUWA YAJA...
FB_IMG_1723577718258.jpg
 
Mama hongera kwa kuteua. With due respect, mama yetu mpendwa sana UMRUDISHE LUKUVI ARDHI. KUMEPWAYA SANA.
 
Kipindi hiki tutaona mengi😂😂 Hadi maji yatapanda mlima.
Huyu mama alikurupukaga kumtoa kabudi na lukuvi ona sasa.
Ukitaka kujuwa ulafi wa wanasiasa hakuna atakayekataa uteuzi, ndio kwanza Kabudi ataanza rasmi kuwa chawa wa mama na kuanza kutowa mijicho upya kama gong'ole.

Jitu somi, Profesa limebobea katiba linapewa hiyo wizara na bado atawasaliti Watanzania hakuna cha maana atafanya hapo wizarani kwa maslahi ya umna yeye hapo anakwenda kuwa chawa rasmi wa mama.
 
Angellah Kairuki ndio kabisaaa kazi ilimshinda, Pindi Chana najua atapambana sana kuikuza Wizara ya Utalii muhimu sana sana
 
Kwa Miezi mingi teuzi zao walikuwa wanazitoa usiku wa manane kama wachawi vile, ukiamka asubuhi unakutana na Suprise,

Leo wametoa kabla ya magazeti hajamalizwa kuandikwa, ili kwenye headline, isiwe Chadema Bali Sukuma Gang kuendelea kurudishwa kwenye System kwa kasi ya 5G.
 
Back
Top Bottom