beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian John Luhemeja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO)
Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sauda Kassim Memo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Macrice Daniel Mbodo kuwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC)