Ila mkuu neno hili halina maana hii uliyoandika hapa au kuendana na mada hapaMarko 4:25…. “Kwa maana aliye na kitu ataongezewa na asiye na kitu atanyang’anywa hata kile kidogo alichonacho”
Nchi hii imelaaniwa! Huoni watu wanasema hadharani wanalamba asali!Vitu vya ajabu sana hivi! Luhemeja bado ni mtendaji ndani ya serikali sasa anakwenda kumsimamia mtendaji mwenzake ndani ya serikali hii hii!
Pathetic! Hivi nchi imeishiwa kabisa watu au wasomi wenye uwezo!
Ulitakaje?Kazi za sa100
Kuteua na kusafiri.
#MaendeleoHayanaChama
Kwanini Rais Samia kila akienda nje ya nchi anafanya teuzi akiwa huko? Kwanini asifanye hizo teuzi akiwa nyumbani?Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian John Luhemeja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO)
Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sauda Kassim Memo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Macrice Daniel Mbodo kuwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC)
View attachment 2238549
Ni aibu kubwa na udhalilishaji! Haiwezekani mtendaji mkuu wa taasisi moja ya umma kumsimamia mtendaji mkuu mwenzake wa taasisi nyingine ya umma!Nchi hii imelaaniwa! Huoni watu wanasema hadharani wanalamba asali!
Na hawajamfuatilia vizuri.Vitu vya ajabu sana hivi! Luhemeja bado ni mtendaji ndani ya serikali sasa anakwenda kumsimamia mtendaji mwenzake ndani ya serikali hii hii!
Pathetic! Hivi nchi imeishiwa kabisa watu au wasomi wenye uwezo!
wanauza nyama kwa foleni pale ruvuEH kumbe narco bado ipo inafanya kazi
Ova
Maajabu haya mkuuEH kumbe narco bado ipo inafanya kazi
Ova