Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

Wanatuchezea sana aiseh! Ni vile tunavyojidai tumekunywa maji ya bendera ya Simba na Yanga, Diamond vs Harmonize na maujinga mengne ya kubet n.k
Viongozi wa hii nchi ni wezi wa kutupwa kabisa!
 
Kuwatoa kwenye mjadala wa bandari labda amteue Sabaya!😁.
 
Halafu siku hz kaja na staili mpya bila shaka kutoka kwa msanii JK...kukaa kimya, kwamba huo ni upepo tu utapita!.
 
Kwangu mimi ni maoni yangu naona Prof Makubi kahushwa choe maana alianza kuwa CMO(MGANGA MKUU WA SERIKALI) baadae akapandishwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya Afya.Sasa kuridi kuwa mkurugenzi wa MOI ni demotion ya hatari ila mshahara wake wa mwisho akiwa katibu mkuu unaweza kubaki kama ilvyo
 
Toka uKatibu wa Wizara kwenda Mtdj MOI. Halafu anaripoti kwa waliokuwa wasaidizi wake huko Wizarani. Only in Tz. Huyu ni Dr Bingwa magonjwa ya Moyo/Damu. Wapi na Wapi Mifupa?
 
Ndio anachokiweza kufanya ana ana ana do kwenye orodha ya majina anayopelekewa.
 
Pole.
...suala hil linanirudisha nyuma kidogo. Unakumbuka Ziara ya CCM Uarabuni? Anyways, nafikiri kulikuwa na uzi humu, ambao nilichangia na nakumbuka kusema 'kule hawakujaziwa mabakuli, bali walipewa marobota ya fedhea.(for lack of a better word) Yaani , nikimaanisha CCM walijikita kule kwenda kuhakikishiwa Ushindi, angalau wa pesa na wao kutoa ahadi kama hizo, kuwa watashinda, in short kuhakikishia Usalama wa Investments.(wawekezaji).....kama binadamu kuna sehemu ukifika na kuangalia nyuma utakuta kuna vitu vya kufedhehesha, katika Suala la Wamasai, na suala hili la Bandari watakuja kutueleza, ...na uzuri wenyewe,haitochukua muda kwani their time is Up CCM must go!

Ben(R.I.P) alikuja kukiri....it was late, ilimuandama to the grave.

Nasikia kichefuchefu(cha kweli kabisa) kwa uchu huu wa madaraka na nguvu ya peca(tafuta historia yake ) ndio Peca(pesa) yawa wareno wanayonyesha hawa ndugu zangu wa CCM....yaani twaja kuzomewa tena mitaani.

Hatahivyo, mbadala wake CCM ndio kabisa....hatari!

Haya ya machaguzi chaguzi(uteuzi) ni njama tu za kufunika moshi. Dar ES Salaam kwa maana yake yote is gone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…