UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

Your browser is not able to display this video.

Hii ni sawa na wale wanaotolea macho uteuzi wa wale wanaowaona hawastahili.
 
Wana ilmu...
Kuna watu wanajifanya wasomi,, wakati hata simple task kuongea ung'eng'e inawatoa kamasi,, kuna waziri wa elimu wa Madagascar, yaani huyo mama eti ana PHD alafu anaongea broken English,, ha ha ha... [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…