UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

Wana wivu sana yaani hapo % kubwa ni wao kila sekta bali wanataka nchi nzima iwe yao tu
Exactly, yaani ndio nimegundua Sasa kuwa kumbe wanamchukia Samia Sababu ya dini yake tu Hawa kenge wachache,

Wakae wakijua akitoka Samia 2040 baada ya katiba mpya, anaefuata Ni January Makamba au majaliwa Kassim,

Tushajifunza wakipewa Madaraka wanakuwa makatili sana
 
Sawa mkuu,endeleeni kutamba!Ila Mbuzi katoliki hata swala 5 wanakula sana!
imekula kwenu, Akitoka Samia anaefuata mwaka 2040 baada ya katiba mpya, Ni January Makamba au Majaliwa Kassim
 
Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??
Bodi DENGU
 
kwa taarifa nilizozipata, nimeambiwa huyu umande atahakikisha kila kaya inakunywa chai asubuhi. kazi iendelee.
 
Hivi hamchoki na mambo yenu ya udini, ukanda na ukabila? Why Tanzanians?

Tuache haya mambo, kama mtu hana credentials ndiyo tu argue based on this siyo kuhusu kabila lake, dini au ubini wake...These things will not help us kwakweli.
 
Back
Top Bottom