Ni 3000 sio bukuKatiba ya Tanzania ina mapungufu, ukishampa Rais wa nchi mamlaka haya yote kisheria si salama kwa ustawi wa nchi kidemokrasia hasa ukizingatia nchi inafuata mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, na Rais anatokana na chama kimoja cha siasa, sasa anafanyaje kwa mamlaka haya kutenda haki na usawa kwa raia wote.
Yaani tangu awamu ya TANO hadi sasa ndiyo nimegundua Rais wa Tanzania ni mtu mkubwa sana... maana ukiweka list ya watu anaowateua nafikiri wanafikia zaidi ya 1000 na ushee.
Wapendeni na muwape kipaumbele waamini wenzenu zaid ya wasioaminiBwahahaha.......tunaipa dini ya mnyaazi kipaumbele.
Kujua kusoma na kuandika ni sifa toshack hivyo anafaakabla sijakuunga mkono...
nikuulize kwanza
je? hana sifa?
Ili mradi tu aonekane hana dosarii yaani watz tunashida sanaaaa......Udini jamani huyu mama sio mkabila ila ni mdini
nikibadili dini, si itasaidia?Udini jamani huyu mama sio mkabila ila ni mdini
Imebaki zamu ya UrojoRais Samia Suluhu Hassan amemteua Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania
Anachukua nafasi ya Mhandisi Steven Mlote aliyemaliza muda wake. Uteuzi wake umeanza Oktoba 08, 2021
Utakuwa umeunda syndicate moja ya hatari sanaHizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??
ππππππBwahahaha.......tunaipa dini ya mnyaazi kipaumbele.
Hahahahahahaππππππ
Mpaka 2030 hata mashehe watateuliwa.
Wale jamaa wanakuaga wezi mno....
Tusipondokana na mentality za crusade wandungu, hatutafika mbali, ile iliishaga miaka 1000 1liyopita wandungu, binadamu wote ni sawa bila kujali imani yake,nikibadili dini, si itasaidia?
Wala nguruwe mna chuki Sana kwanini????Udini jamani huyu mama sio mkabila ila ni mdini
Keng,e nyinyi, mnataka kila teuzi muwe nyinyi tu Wala nguruweMama hana ukanda ila udini tu.....muda ni mwalim bora zaidi
Wala nguruwe subirini Hadi 2055Wa talibani wana hula
Nyie wachambia makaratasi na Wala nguruwe subirini Hadi 2060Swala 5 wanaupiga msingi sana!
Tatizo Wala nguruwe Wana chuki Sana,ukiangalia mama nafasi nyingi amewajaza wao, lakin bado hawataki Waislamu wapewe teuzi yoyote Hawa watuLabda anapunguza yasitokee yale majina yote kwenye EPA na Escrow maana ilikuwa balaa mpaka mapadri wakala bila kunawa