halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Hivi Luca yuko wapi? Aje aone mkeka ulivyobubujika huku 😹Mama angemalizia na kwa mwigulu ili tukae vzr, kama hana mtu bc hy nafasi aiache hata wazi tuu 😎
Tusubiri kuongezea gharama za vifurushi 😂Yale makampuni yetu ya simu itakuwaje sasa?
Mimi naweka ahadi jamaniii ikifika siku hiyo hata kama nikiwa nimekufa 😁😁Madelu naye ipo siku na hivi kaanza kujileta kukanusha humu na kupita kila platform ujue moshi unafuka huko
Andika jina lake labla wakuu watamuonaMwambieni amteue Binti yangu
Cha Muleba.Alikosea sana, bangi aliyovuta ile siku asivute tena.
Kwa hili mama kafanya vizuri, wanaoleta mafarakano sio wa kuvumiliwa.
Anakuzoom tu mchumi mkuu wa nchi 😅😅Kwa mara ya kwanza nakuita mama.Akhsante sana Kwa KUWATENGUA Makamba na Nape'.maliza kazi Kwa Mwigulu
Ngoja aanguke kilio chenye maumivu kwanza huko alipo 😂Hivi Luca yuko wapi? Aje aone mkeka ulivyobubujika huku 😹
Huu uzi najua wote wapo, nangoja wataniita pembeniAndika jina lake labla wakuu watamuona
Cha msingi n hao vilaza kutolewa tuu, sasa hao wapya tutawarudia nao. Ngoja tuanze na hawa waliotolewaUteuzi hauna tija,Ametoa mihongo ameweka magimbi.Kazi iendelee
Ww fahamu tuu kuwa aliyakanyagaNape alisema nn
Mwigulu angeondolewa kabisa maana ana kibaru na majivuno na ni kama anatuona watz ni wajingaKwa mara ya kwanza nakuita mama.Akhsante sana Kwa KUWATENGUA Makamba na Nape'.maliza kazi Kwa Mwigulu