Mkuu nimeumia sana Jerry kuamishwa ile kazi aliiweza mno .Mimi kaniudhi tu kumtoa Jerry Silaa kwenye ile wizara ya ardhi! Maelekezo ya Msoga haya!
Wiki yake hii tutapunguzia maumivu yetu ya tozo yote kwake, mchawi bando tuMama ameweza, ameweza tena.!!
Leo ndio atajua wananchi hawawapendi hao wateule wake, ni vile hawasikilizi
Shida yao jina pesa wanazoWatapewa kazi maalum yenye posho ndefu kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.
mama kazingua kumumwaga marope ..๐ผFUKUZA KUNGURU KWAA KWAA๐ผ
๐น๐น๐น Haswaah.!!Wiki yake hii tutapunguzia maumivu yetu ya tozo yote kwake, mchawi bando tu
Usifurahi sana best ๐๐ผFUKUZA KUNGURU KWAA KWAA๐ผ
Ana maana yake huwezi jua ohhhmama kazingua kumumwaga marope ..
Lakini mbona hawakomi kuiba hata pale wanapokuwa ikulu?Shida yao jina pesa wanazo
Awwwhh ๐น๐นUsifurahi sana best ๐
Hiyo ndio siasa mkuu.Ila CCM wajanja sana why kipindi hiki kuelekea uchaguzi ndio wanafanya mabadiliko bora๐๐
Sanaaaa...!!! yaani, wa kwanza Mimi hapaHapa atakuwa kawakuna wengi ๐
Katika vita kuna watu lazima watolewe kama chambo ili upatikane ushindi๐๐๐Awwwhh ๐น๐น
hofu inamuendesha, sasa hivi anaendeshwa kwa hisia.. uzuri marope anaelewa game vizuri.. ingawa kwa Urais hawezi kuja shinda .. japo ana hizo ndoto uraisi na marope ni kama ilivyo magharibi isivyoweza kutana na masharikiAna maana yake huwezi jua ohhh
Kabisa wanahamisha upepo tu kweli nimeamini ni chama makini na wanambinu nyingi katika uchaguzi๐๐Hiyo ndio siasa mkuu.