Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi sioni la maana hapa!
Labda Nape awe ameondolewa katika uwaziri kwa sababu nyingine lakini siyo kwa sababu ya yale aliyosema kuhusiana na wizi wa kura!
Tusidanganyike na kutenguliwa kwake hiyo ni kutupinga changa la macho! Wizi wa kura 2024 na 2025 utakuwepo kama kawaida!
Tutakuja hapa tena kumshukuru Nape baada ya matokeo ya Uchaguzi kutangazwa!
 
Naona hatua alizo chukuwa rais Ruto nchini Kenya kuvunja baraza la mawaziri na kuunda umpya nahisi labda kwa sehemu zimempa mama confidence kusimama yeye kama yeye kama rais wa nchi na sio kucheka na kima yeyote badala yake Fanya kile wananchi wanataka failure to that you are unfit to be a President because you' are not leading but there are people who are leading you.Na kama samia ameweza Fanya kwa hawa watu serikali yake itaheshimika maana kama ameweza Fanya hivi kwa mtu mbichi habari gani kwa mtu mkavu ,ingawa kuna watu wawili flani ambao amewaacha watu wanawapigia kilele a President should just drop them out why leaving them?
 
Back
Top Bottom