Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaan Mama hajataka Masikharah kabisa, Huu utenguzi wa Nape kauweka mwanzoni kabisa, ili wale wavivu wa kusoma mikeka hadi mwisho tusikose hii habari adhim ya kutenguliwa Nape M Nnauye.
 
Kuna Mawaziri wao huwa hawatenguliwi, kama Mama Jenista Muhagama, ina maana anafanya kazi nzuri sana kuliko wengine?

Kama ndivyo basi ni mfano mzuri wa kuigwa na watendaji wengine.
 
Kuna comment ya jamaa mmoja ilisema.. Nape kaamua kusema yale kule kwa yule jamaa baada ya kunusa mabadiliko na kujiona yupo out. Akaamua kuropoka yale aliyoropoka. Mama kata connection akiendelea kupata info za jikoni kigogo na mange wanarudi on top na habari za kisiasa wakati kwa sasa wana habari za kimbea tu.
 
Hongera kwa Mama walikuwa wanajisahau sanaaaa Hasa yule aliesema inategemea matokeo anatangaza nani
 
Kiongozi dhaifu lazima awe na serikali dhaifu na kazi yake ni kuteua na kutengua kila uchao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…