Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Basi wewe huwajui CCM vizuri 😅Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wewe huwajui CCM vizuri 😅Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Huwezi kushindana na Rais aliyekalia kitiKwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Kwa Nape nimeelewa. Vip Kwa Januari? Sijaelewa kinachoendelea?My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee [emoji120][emoji120][emoji116][emoji116]
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama ifuatavyo;-
Pia soma DOKEZO - Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri
- Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Kabla ya uteuzi huu Mhe. Silaa alikuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, anachukua nafasi ya Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;
- Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huu Mhe. Ndejembi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu);
- Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu). Kabla ya uteuzi huu Mhe. Kikwete alikuwa Naibu Waziri, Odisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora;
- Balozi Mahmoud ThabitKombo ameteuliwa kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kabla ya uteuzi huu Balozi Kombo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italy, anachukua nafasi ya Mhe. January Makamba (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
- Mhe. Cosato Dvid Chumi (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mmabo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashiki. Mhe. Chumi anachukua nafasi ya Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye atapangiwa kituo cha kazi;
- Mhe. Deus Clement Sangu (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora;
- Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mmabo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki. Mhe. Londo anachukua nafasi ya Mhe. Stephen Lujwahuka Byabato (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;
- Bw. Eliakim Chacha Maswi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria. Kabla ya uteuzi huu Bw. Maswi alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA);
- Bi Mary Gasper Makondo ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma. Kabla ya uteuzi huu Bi. Makondo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria. Bi. Makondo anachukua nafasi ya Bi. Rehema Sefu ambaye amestaafu.
- Bw. Kiseo Yusuph Nzowa ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla ya uteuzi huu Bw. Nzowa alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais – Ikuli;
- Bw. Musa Haji Ali ameteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu Bw. Ali alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais – Ikulu;
- Bw. Louis Peter Bura ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato. Bw. Bura anachukua nafasi ya Bw. Said Juma Nkumba ambaye amepangiwa majukumu mengine;
- Bi. Kemirembe Rose Lwota amehamishwa kutoka Wilaya ya Manyoni kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti;
- Dkt. Vincent Biyegela Mashinji amehamishwa kutoka Wilaya ya Serengeti kuwa Mkuu wa Wilaya Manyoni;
- Dkt. Maulid Sleiman Madeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti;
- Bw. Afraha Nassoro Hassan amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Seringeti kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. Bw. Hassan anachukua nafasi ya Bw. William Anyitike Mwakalambile ambaye uteuzi wake umetenguliwa na;
- Bw. Dennis Kwame Simba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Kabla ya uteuzi huu Bw. Simba alikuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO).
Silaa alijigeuza mungu mtu, Kuna watu Wana upeo mdogo sana.Huyu silaa mama angemuacha kwanza ...... kuna mission alikuwa ajamalizia kule ardhi....... angeacha kabisa ang'oe mpaka visiki vyote maana kule wezi wako wengi utadhani ardhi ni kitu kinachobebeka mfukoni
Mchungaji Peter Msigwa. Jifunze kitu hapaMy Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇

Hakuna lolote hapa kapuyangaSilaa alijigeuza mungu mtu, Kuna watu Wana upeo mdogo sana.
Kalie naye Sasa.Hakuna lolote hapa kapuyanga
Hiyo kitu inatakiwa ife kabisa. So called watoto wa viongozi wengi wao hawana uwezo wa wazazi wao waliopita. Ni jina tu si performanceMtu kapata Div 4 kaenda kusoma City College Bangalore India akili anapata wapi? Tuwe wakweli, jamaa wa habari ni mweupe sana kichwani. JK alimbeba sababu ya agano la Butiama la watoto wa vigogo kukumbukwa, ila jamaa ni mweupe mno.
Dizaini wewe ni kama wale watu wa rangi nyingiKalie naye Sasa.
Kigogo Kigogo ni Msoga Gang.Sasa ile vita rasmi ya kutumia mitandao ya kijamii kummaliza chura kiziwi inaanza upyaaa.
Kigogo atafufuka kwa kasi mpya.
Niko palee na VPN yangu.
Tutaelewana tu, tutaoneshana makali.
Yuko wizara ya habari kaonane naye.Dizaini wewe ni kama wale watu wa rangi nyingi
Alipaweza Ila kuna zile Sheli za Wakubwa zimejengwa na bado zinajengwa katikati ya maeneo ya Watu hilo ameshindwaSasa Mbona Slaa alipaweza.
Nina wasiwasi aligusa maslahi ya mafisadi..
Kudadadadeq amekonda kwa usiku mmoja tu.Washajua, Makamba anamrukia vichwa baba yake saa hizi kwa kumletea waganga feki.
Nape kajifungia chooni analia.
View attachment 3048395
Kwa hio suluhu ni Nyape na February Marope waende ndani? Mna akili nyinyi?Ata akiwatengenezea zengwe na kuwatia ndani kwa miaka hata sita tu anakuwa amewamaliza si lazima kifungo cha maisha
Ali deliver kitu gani? Kama siyo kutuachia mgawo wa umeme usioishaSasa kufanya kazi Tanesco kuna shisa gani kama ana deliver?
Ni suala la Muda tu wote wanarudishwa tena kwenye circle sio mnakuja mnaniita britanicca hao wakina Babakasema Mamakasema usijifananishe naoWashajua, Makamba anamrukia vichwa baba yake saa hizi kwa kumletea waganga feki.
Nape kajifungia chooni analia.
View attachment 3048395
Panya anakung'ata kisha anakupulizaWatoto wa Boss wameguswa. .
Ila Mwanae mpendwa kasogezwa karibu zaidi.