Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
4. Balozi Mahmoud ThabitKombo ameteuliwa kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kabla ya uteuzi huu Balozi Kombo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italy, anachukua nafasi ya Mhe. January Makamba (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Hivi huyu mbunge wa kuteuliwa, si ilikuwa lazima AAPISHWE kwanza kabla ya kuteuliwa kuwa waziri?
 
1719491754029.jpg
 
Seems to me Wizara ya Mambo ya Nje, Pamoja na Nape walikuwa wanaplot something against Samia, Bybato was too Young to ruin his political carrier.

Message ya Nape kuwa "We can make you win" ilikuwa ina maanisha any one including Rais ana obligation ya kumuheshimu Nape ili apate nafasi
Propagation tu nothing special....Januari na Nape is an ordinary people....

Mwigulu is a monster got financial giancy anaishi invisibly. Anaandaa hata familia yake ije iishi maisha flan ya kichawa. Usimuone amevaa benders ile ni ngozi ya kondoo ndani chui
 
Kwa sasa ngozi ya Kondoo imechakaa, ya Chui imeanza kuonekana kwa mbali ndio maana watu wamestuka wanataka aondolewe kwenye zizi haraka.
 
Back
Top Bottom