Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna waziri aliyekuwa na brass balls za kumnyamazisha mzee mushi fromer land officer aliyegeuka tapeli mkubwa wa ardhi maeneo ya mikocheni, msasani, mbezibeach na matapeli wengine akina msama.
Sema itakuwa mafisadi yamepenyeza vimemo aondolewe ardhi
 
Acheni kujifariji.

2015 mbona waliifanyia hiyo KAZI chafu wakiwa mawaziri!!

Ujuaji mwingi!!
 
Jerry silaa amefamya.makubwa sana ardhi hakupaswa kuhamshwa alihitaji asimike.mifumo lakini ndio hivyo siasa hazinaga tija wala.hazihitaji tija

kama ni kweli kwamba perfomer kama mnavyosema hata huko alikopelekwa β€œatafanya makubwa” pia, umesahahu Magufuli walimpeleka uvuvi huko huko akapiga kazi ya kufa mtu wizara ambayo hata watu hawakuitilia umuhimu kabla lkn ikawa inajadiliwa kila mahali, kama yuko (Silaa) vizuri kichwani hata huko ata shine tu hakuna kitu kama wizara muhimu zaidi, wizara zote zina mambo mengi ya kufanya hasa kwa nchi inayoendelea kama yetu …
 
Wanao wanayo nafasi kupitia wewe.
Jimbo la Makamba na la Nape yatakua wazi mwakani. I wish you luck.
mkuu uko positive πŸ˜…
sema washakita mizizi mimi mtoto wa hoehae nitapenya kweli? wacha nikaze msuli niendelee kubeba tofali juani
 
Nape na Januuuuaaary siyo mawaziri tene eeh..? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…

Naandaa mbusi mzima wa kuchoma nile na mama yoyo πŸ˜‚πŸ˜‚

Mh Rais umeleta tabasamu leoooo! Unajua kufurahisha wananchi, ilitakiwa iwe hivi mapeeema sana yaani
 
mkuu uko positive πŸ˜…
sema washakita mizizi mimi mtoto wa hoehae nitapenya kweli? wacha nikaze msuli niendelee kubeba tofali juani
Kama Msigwa anaweza kua mbunge wewe utashindwaje?
Unachotakiwa Ni kuwaona wajumbe mapema na kujiamini wakati ukitoa ahadi. Sasa hivi maji na umeme vipo kila sehemu, wewe toa ahadi ya bima ya afya na gesi ya kupikia bure.
 
Nakumbuka hata Ndugai aliponzwa na kuombaomba msamaha🀣...huyu mama hapendi unafki
Sijui kwa nini hawa wateule wake wanashindwa kumsoma mambo ambayo huwa hayapendi? Mbona ni rahisi tu. Hata huo uchawa huwa hapendezwi nao na alishawahi kusema hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…