Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aisee kumbe jf ni kiboko ,kuna mdau alisema jambo flani hivi yananza tokea , bado Bashe dadeki
 
Mh rais utaniteua lini nijibu! Binafsi nataka wizara mpya ya kunyonga majizi wa nchi hii.

Angalizo
Usinitue kama upo na makandokando maana kwa wizara husika sitoangalia sura ,cheo bali kazikazi tu.

Mh rais niteue na kuniundia wizara nyeti tajwa hapo juu
 
britanicca nakuaminia. Kuanzia leo hata ukiandika kuwa mende anatoa maziwa nitakuamini.

Uliandika wiki moja iliyopita kuwa mama akimaliza ziara ya Katavi Nape na Makamba wataondolewa. Na imetokea.

Kabla ya hapo ulitabiri uteuzi wa DGCI Mombo.
Hahahaha
 
Harafu utashangaa hawa hawa anarudisha upande mwingine, kwani watu wameisha???
 
Nilikutana na mtu wa Mtama kwenye mid-April,2024 jijini Dar....ni x- work mate wangu ...akanidokezea NAPE NNAUYE hakubaliki kabisa jimboni kwake....hata kama CCM watamsimamisha tena 2025 watataabika mno kumnadi....
Kwani kusini wanamtaka sasaaa...?!;hawamtaki na hawamtaki tena!!!
Yaani yule kwanza hana Cha maana alichofanya labda ashinde kimagumashi tu
 
Pole Sana mh. Nape Moses mbunge wa Mtama.

Binafsi nakukubali sana,Ila sielewi unakosea wapi brother.
 
Mkuu February na Nope ilikuwa planned mda tu kuna ishu wamezingua ...tusubiri mengi kwenye uchaguzi ujao
....kuna hujuma walikuwa wanaorgqnize ....ile ishu ya TIS mkuu kubadilishwa ndo imeanzia hapo
Walizingua nini tena? jamaa wanajionaga watu wa mipango mingi
 
Nafasi ya Waziri wa mambo ya nje inahitaji mtu mahiri na mwenye command nzuri ya lugha za kigeni aliyeteuliwa sasa..mmmmmh nilishangaa alipoteuliwa balozi wa Tz Italy. Hii yote ni kwa sababu ya katiba mbovu
 
Kwahiyo uteuzi na utenguzi ni kujituliza?

Sio kuimarisha utendaji wa Chama na Serikali Sikivu ya CCM katika kuwaletea wananchi na waTanzania wote Maendeleo 🐒
Sina shaka yoyote kuwa akili yako ina kasoro.
 
ana gundu
 
Sijui kwa nini hawa wateule wake wanashindwa kumsoma mambo ambayo huwa hayapendi? Mbona ni rahisi tu. Hata huo uchawa huwa hapendezwi nao na alishawahi kusema hivyo.
Tena uchawa ndo hautaki kabisa,maana ameshajua uchawa=njaa
 
jerry slaa ana degree ya kwanza ya either computer science au informations systems designs so hapo pia anaweza akaupiga mwingi mpaka ukamwagika. Sema nape anasema ana makampuni ya simu 5 kwa hiyo ule ulaji usije ukaenda kwa jerry tena asitetee wananchi kukatwa pesa kwenye simu akajazwa yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…