Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lowasa na Rostam walikuwa na rafiki flani, lakini aliwatosa mchana kweupeee ili afanikishe Jambo lake, sasa jamaa huyo huyo katika kizazi kingine kaamua kuwatosa tena marafiki zake ili kufanikisha Jambo lake

Kamwe usimwamini mswahili
Yaani anamtengenezea riz moko kiti Kwa mgongo wa mkojani Kwa kuwatosa vijana watiifu kwake!!?

What if marope anaandaliwa Ili kuleta mvutano ndani Ili aje apite asietarajiwa!!?
 
Nafasi ya Waziri wa mambo ya nje inahitaji mtu mahiri na mwenye command nzuri ya lugha za kigeni aliyeteuliwa sasa..mmmmmh nilishangaa alipoteuliwa balozi wa Tz Italy. Hii yote ni kwa sababu ya katiba mbovu
si kweli au lazima. anaweza kutumia lugha yake ya taifa tu. Tuachane na hizi kasumba
 
Raisi wa Tanzania samia suluhu amfuta kazi waziri Nape moses nawiye baada ya
1-kuruhusu/kufungulia madhui ya ngono
2-kutoa kauli tata na zenye ukakasi kuhusu chaguzi za Tanzania.

Amebaki Jumaa Aweso shida ya maji mbezi Kimara ubungo soon nae anang'oka
 
Raisi wa Tanzania samia suluhu amfuta kazi waziri Nape moses nawiye baada ya
1-kuruhusu/kufungulia madhui ya ngono
2-kutoa kauli tata na zenye ukakasi kuhusu chaguzi za Tanzania.

amebaki jumaa aweso shida ya maji mbezi kimara ubungo soon nae anang'oka
Naang'oke yaani haiwewzekani maji hadi leo hakuna
 
Hawezi kuwamaliza.

Samia was always a chawa wa hao watu wazito.

Samia anatakiwa Ashirikiane na watu wa Magufuli wana ujasiri and strong
Unamshauri Rais ashirikiane na wale wauaji kabisa? Huna akili
 
Jiwe alikuwa balaa sana, bora Mungu kampenda zaidi
Ajabu simjui hata waziri wa mambo ya ndani, siasa za huyu maza hazichangamshi enzi za JPM tulijua karibia viongozi kwa majina yao kuanzia ngazi ya chini
 
Kwa comments hizi inaonyesha Ni kiasi gani watanzania wamewachoka
Nape, January, Bashe na Mwigulu.
 
IMG-20240722-WA0004.jpg
 
Binafsi sijawahi ona maana yoyote ya Jiwe kwenye lolote zaidi ya upigaji nyuma ya kivuli cha wanyonge
Wwe tatizo lako la kua na vyeti fake limekufanya kumchukia Magufuli, kua na vyeti fake ni kosa la jinai Dada yangu, na jinai haifi siku yoyote ile isiyokua na jina utashitakiwa tu!!
 
Back
Top Bottom