GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyo mwingine kupenda Kuroga hadi kumjaribu Asiyerogeka kutoka Paje Zanzibar.Nape mdomo umemponza. Makamba sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwingine kupenda Kuroga hadi kumjaribu Asiyerogeka kutoka Paje Zanzibar.Nape mdomo umemponza. Makamba sijui
Kwani nani amesema kulala hadi usiku utimu?Unafikiri watu wote tuko Tanzania? Kuna sehemu ndio kunakucha
Lowasa na Rostam walikuwa na rafiki flani, lakini aliwatosa mchana kweupeee ili afanikishe Jambo lake, sasa jamaa huyo huyo katika kizazi kingine kaamua kuwatosa tena marafiki zake ili kufanikisha Jambo lake
Kamwe usimwamini mswahili
Yaani anamtengenezea riz moko kiti Kwa mgongo wa mkojani Kwa kuwatosa vijana watiifu kwake!!?Lowasa na Rostam walikuwa na rafiki flani, lakini aliwatosa mchana kweupeee ili afanikishe Jambo lake, sasa jamaa huyo huyo katika kizazi kingine kaamua kuwatosa tena marafiki zake ili kufanikisha Jambo lake
Kamwe usimwamini mswahili
That is the only way to win peoples' heartThis is the most political risk and gamble of its kind which president Samia has ever done under her leadership.
Keep listening to people and you will prevail.
si kweli au lazima. anaweza kutumia lugha yake ya taifa tu. Tuachane na hizi kasumbaNafasi ya Waziri wa mambo ya nje inahitaji mtu mahiri na mwenye command nzuri ya lugha za kigeni aliyeteuliwa sasa..mmmmmh nilishangaa alipoteuliwa balozi wa Tz Italy. Hii yote ni kwa sababu ya katiba mbovu
Naang'oke yaani haiwewzekani maji hadi leo hakunaRaisi wa Tanzania samia suluhu amfuta kazi waziri Nape moses nawiye baada ya
1-kuruhusu/kufungulia madhui ya ngono
2-kutoa kauli tata na zenye ukakasi kuhusu chaguzi za Tanzania.
amebaki jumaa aweso shida ya maji mbezi kimara ubungo soon nae anang'oka
Baada ya kifo cha JPM, nakumbuka Nape alisema ni bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga sasa safari hii mganga wake hajafa ila kakimbiwa na mganga wake 😂
🔨Kwa hilo ya Jiwe alikuwa sahihi
Unamshauri Rais ashirikiane na wale wauaji kabisa? Huna akiliHawezi kuwamaliza.
Samia was always a chawa wa hao watu wazito.
Samia anatakiwa Ashirikiane na watu wa Magufuli wana ujasiri and strong
Ajabu simjui hata waziri wa mambo ya ndani, siasa za huyu maza hazichangamshi enzi za JPM tulijua karibia viongozi kwa majina yao kuanzia ngazi ya chini
NapeNonsense and rubbish.
Wakaoshe nyota zao upyaaa
Wwe tatizo lako la kua na vyeti fake limekufanya kumchukia Magufuli, kua na vyeti fake ni kosa la jinai Dada yangu, na jinai haifi siku yoyote ile isiyokua na jina utashitakiwa tu!!Binafsi sijawahi ona maana yoyote ya Jiwe kwenye lolote zaidi ya upigaji nyuma ya kivuli cha wanyonge
Kwa mashemejiMwigulu analogea wapi 🤬🤬