Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balali OyeeeeTuendelee kusubiri View attachment 3048287
Zimefika huyu simuachi ana kitu 😹😹😹😅😅😅mwambie namsalimia
🤣🤣🤣🤣 Wazandiki wabaya sana hao walimpanikisha sana jiwe sasa zamu yake Chura kiziwiKunguni atakao sagiwa Samia na hawa wazandiki wawili hakuna rangi ataacha kuona.
Zamu yake itafika soonMwigulu kwanini anaachwa?
Kamatia fursa,Zimefika huyu simuachi ana kitu 😹😹😹
Ila hii nchiJanuari Ma-rope je ? Kaharibu nini?
Kati ya mambo mazuri aliyowahi kutenda huyu Mama [In Lissu voice] hili ni la kwanza kabisa.Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Tatizo umuch know mwingi.Jerry silaa asingetolewa huko wizara ya ardhi alikua anaenda kuharibu mambo siku siyo nyingi
Nilikutana na mtu wa Mtama kwenye mid-April,2024 jijini Dar....ni x- work mate wangu ...akanidokezea NAPE NNAUYE hakubaliki kabisa jimboni kwake....hata kama CCM watamsimamisha tena 2025 watataabika mno kumnadi....Nape alikuwa ameshajua kitakachomkuta
Mimi bado hajanikuna kabisaa haiwezekani mwigulu aniambie nihamie Burundi. Na akasema Swala Kodi kuongezeka eti wananchi tumeshauri? 🤣🤣🤣Siku hizi anajifanya mtume Paulo anaongea km mtakatifu Joseph na kutenda kama yohane mbatizaji, kwa nape mama kanikuna jamaa lilizidi na ule mtumbo