Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Screenshot_20240721_235934_Phoenix.jpg
Screenshot_20240721_235934_Phoenix.jpg
 
Mambo yanafanyika usiku kwa usiku,ukiamka unarudisha gari la wizara unabaki na la Ubunge
 
Huu uzi Mchungaji: MSIGWA na Upendo Peneza,watakuwa waliufungua kwa kasi ya 5G_.Ila ndiyo hivyo tena. ..na wavute subira....japo ni dalili mbaya mno kwa matarajio yao na makubaliano waliyoafikiana na CCM....Hata Nancy Sumari_( Mr.Politician)CCM walimjaza maneno matamu matamu...akiwa kwenye mkeka wa Dr.Slaa enzi hizo wa Ubunge wa viti maalumu( CHADEMA),binti akakengeuka ghafula....na mwisho CCM wakamtupilia kusikojulikana mpaka leo hii....sijui yuko wapi/hai??!!!@.
Msigwa bado haaminiki ni kama mgeni bado analala sebuleni
 
Asante! Bi mkubwa Kwa kuondoa hizi takataka. Kwa hili la kuwaweka nje January Makamba na Nape mnauye!!

Taratibu tunaanza kuwa na Imani na wewe huenda mbeleni utatufuta MACHOZI

May God Bless you Mother!
Mwenyezi Mungu akulinde, aku2nze na akusimamie
Hapa atakuwa kawakuna wengi 😂
 
Back
Top Bottom