Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Taarifa Kutoka Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
Padre Lazarus Vitalis Msimbe ameteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo katoliki Morogoro. Uteuzi huo umefanywa na Papa Fransisko na kutolewa taarifa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Mei 31, 2021
Lazarus Msimbe alizaliwa Desemba 27, 1963 Homboza, Morogoro na alipata upadrisho Juni 21, 1998 Parokia ya Mwenge Jimbo Kuu Dar es Salaam