BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Hongera sana baba askofu mpya. Afu Dr. Kitima mbona alambishwi uaskofu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wababa tumepokwa title yetu naunga mkono hoja baba abak kuwa baba Kama wanataka cheo cha ubaba WAOEBaba askofu, kuna tofauti gani kati ya baba mwenye watoto na huyu askofu asiyekuwa na mtoto? Askofu atafutiwe jina jingine awaachie wenye hadhi ya kuitwa baba.
Wanaitwa hivyo kwa sababu wanalizalia kanisa watoto wengi Sana kwa njia ya imani, haswa ubatizo na sakramenti nyingine.Wababa tumepokwa title yetu naunga mkono hoja baba abak kuwa baba Kama wanataka cheo cha ubaba WAOE
Natamani kweri kweri kuwa AskofuSijui ni kwa nini.Mapadre wengi wenye majina yanayoishia na herufi US eg Thadeus,Eusebius,Armachius,Methodius etc hubahatika ssana kuteuliwa kuwa Askofu.
HapanaSiku hiz morogoro ni Jimbo kuu?
Na wewe itwa hivyo.Sijui ni kwa nini.Mapadre wengi wenye majina yanayoishia na herufi US eg Thadeus,Eusebius,Armachius,Methodius etc hubahatika ssana kuteuliwa kuwa Askofu.
Pole, Watu wangelikuwa wanakimbia kusingelikuwa na wimbi la ujenzi wa makanisa mengi mapya.Hili kanisa lijitathmini watu wanazidi kulikimbia wao wanazidi kuteua.ukoloni wa Vatican umefika mwisho.
Kumbe"Ulisikia"???.Basi Asante kwa Mchango.Nasikia amewaingiza mkenge waumini, alichukua mikopo kwenye mabenki akafanyia shughuli binafsi ikiwemo kujenga majumba Dar
Mtu mzima kuamini maneno ya kuambiwa ni aibu kwake na kwa familia yake.Hiyo rejea nayo mtoa uzi naye ni kwamba naye alisikia.Nasikia ana scandle mbaya sana, nilisikia kutoka kwa baadhi ya viongozi wa pale Cathedral wakisema >> soma post #32 hapo juu
Usipende kujibu kila wanachoongea watu, wanaosoma wataona mko sawa bure.Pole,Watu wangelikuwa wanakimbia kusingelikuwa na wimbi la ujenzi wa makanisa mengi mapya.
Ukatoliki UNA NGUVU KUBWA YA UTAWALA DUNIANI. Ni dini mahiriTaarifa Kutoka Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
Padre Lazarus Vitalis Msimbe ameteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo katoliki Morogoro. Uteuzi huo umefanywa na Papa Fransisko na kutolewa taarifa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Mei 31, 2021
Lazarus Msimbe alizaliwa Desemba 27, 1963 Homboza, Morogoro na alipata upadrisho Juni 21, 1998 Parokia ya Mwenge Jimbo Kuu Dar es Salaam
..us ni majina ya kilatini au yaliyowekwa kwenye mfumo wa kilatini ambayo ni lugha ya kanisa. Mfano Method linakuwa Methodius.Sijui ni kwa nini.Mapadre wengi wenye majina yanayoishia na herufi US eg Thadeus,Eusebius,Armachius,Methodius etc hubahatika ssana kuteuliwa kuwa Askofu.
Mkuu asante kwa ushauri.Usipende kujibu kila wanachoongea watu, wanaosoma wataona mko sawa bure.
Hata Padri lazima tuchaguliwe na Beberu?Taarifa Kutoka Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
Padre Lazarus Vitalis Msimbe ameteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo katoliki Morogoro. Uteuzi huo umefanywa na Papa Fransisko na kutolewa taarifa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Mei 31, 2021
Lazarus Msimbe alizaliwa Desemba 27, 1963 Homboza, Morogoro na alipata upadrisho Juni 21, 1998 Parokia ya Mwenge Jimbo Kuu Dar es Salaam
Yukoje huyo? Huyu ni wa salvatorianNilitaka kudhani padre Msimbe wa parokia ya St.Monika kihonda😁😁
Mtu mjinga kama huyu mnamuacha kama alivyoBaba askofu, kuna tofauti gani kati ya baba mwenye watoto na huyu askofu asiyekuwa na mtoto? Askofu atafutiwe jina jingine awaachie wenye hadhi ya kuitwa baba.
Mapadre/Maaskofu wa Katoliki ni sawa na Walezi kwa Waumini wao! Wanatulea kiroho!! Hivyo tafadhali usitupangie jina la kuwaita.Baba askofu, kuna tofauti gani kati ya baba mwenye watoto na huyu askofu asiyekuwa na mtoto? Askofu atafutiwe jina jingine awaachie wenye hadhi ya kuitwa baba.