Uteuzi: Papa Fransisko amteua Padre Lazarus Vitalis Msimbe kuwa Askofu wa Jimbo la Morogoro

Hongera sana baba askofu mpya. Afu Dr. Kitima mbona alambishwi uaskofu?
 
Baba askofu, kuna tofauti gani kati ya baba mwenye watoto na huyu askofu asiyekuwa na mtoto? Askofu atafutiwe jina jingine awaachie wenye hadhi ya kuitwa baba.
Wababa tumepokwa title yetu naunga mkono hoja baba abak kuwa baba Kama wanataka cheo cha ubaba WAOE
 
Hili kanisa lijitathmini watu wanazidi kulikimbia wao wanazidi kuteua.ukoloni wa Vatican umefika mwisho.
Pole, Watu wangelikuwa wanakimbia kusingelikuwa na wimbi la ujenzi wa makanisa mengi mapya.
 
Nasikia ana scandle mbaya sana, nilisikia kutoka kwa baadhi ya viongozi wa pale Cathedral wakisema >> soma post #32 hapo juu
Mtu mzima kuamini maneno ya kuambiwa ni aibu kwake na kwa familia yake.Hiyo rejea nayo mtoa uzi naye ni kwamba naye alisikia.
 
Ukatoliki UNA NGUVU KUBWA YA UTAWALA DUNIANI. Ni dini mahiri
 
Sijui ni kwa nini.Mapadre wengi wenye majina yanayoishia na herufi US eg Thadeus,Eusebius,Armachius,Methodius etc hubahatika ssana kuteuliwa kuwa Askofu.
..us ni majina ya kilatini au yaliyowekwa kwenye mfumo wa kilatini ambayo ni lugha ya kanisa. Mfano Method linakuwa Methodius.

Jimbo katoliki la Bukoba majina mengi sana ya kiume ya kubatizwa yaliishia na ...us. Hata majimbo mengi ambayo yameshikilia sana dini na yako conservative kwenye misimamo ya kanisa yalitumia haya majina.
 
Hata Padri lazima tuchaguliwe na Beberu?
 
Baba askofu, kuna tofauti gani kati ya baba mwenye watoto na huyu askofu asiyekuwa na mtoto? Askofu atafutiwe jina jingine awaachie wenye hadhi ya kuitwa baba.
Mtu mjinga kama huyu mnamuacha kama alivyo
utoto unamsumbua japo linaonekana ni jitu zima na mazivu juu
 
Baba askofu, kuna tofauti gani kati ya baba mwenye watoto na huyu askofu asiyekuwa na mtoto? Askofu atafutiwe jina jingine awaachie wenye hadhi ya kuitwa baba.
Mapadre/Maaskofu wa Katoliki ni sawa na Walezi kwa Waumini wao! Wanatulea kiroho!! Hivyo tafadhali usitupangie jina la kuwaita.
 
Jitu jinga ni lile linalopokea utamaduni wa mtu mwingine bila kuhoji na kudharau utamaduni wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…