UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Rais John Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU).

Uteuzi huu unaanza rasmi leo.

IMG-20170821-WA0101.jpg
 
Yaani Brigedia General anakwenda kuwa chini ya Polisi?
Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!

Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
 
Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!

Walipochemka ni Kagera
RRC ni Bregadier General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
Kijuu ni meja jenerali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunataka kazi tuu kwani yule aliyetuambia pesa ya eskro haina shda ni halali alikuwa wa wapi yule?

Ni uadilifu wa mtu kama mtu sio kanda wala nini. Unaweza ukapewa kazi hiyo hata nchi nyingine ukaifanya kwa uadilifu
 
Sijui naye atakuja na mtazamo wa kufukua au kutofukua makaburi!
 
Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!

Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!

Kwa hivyo tutarajie siku moja IGP Sirro kuja kwa CDF!!
 
Back
Top Bottom