UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!

Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
Acha ujinga kama kitu hukujui kaa kimya sio kila jambo ni kushabikia tu.Hujui hata seniority za jeshi la polisi na wananchi are incomparable
 
tatizo la mkulu anaamini akimteua mtu kuwa brigedia, kamanda etc, kwenye masuala yanayotakiwa kutumia akili na wala sio nguvu ndio ataleta ufanisi. hata hivyo nampongeza kwa kazi zake.
Tafuta basi cv yake uone ilivyosheheni ujajusi halafu upige kelele.Hela yetu ilopigwa na mafisadi ikafichwa nje lazima irudi yote
 
Kamishina mkuu hawez kua juu ya brigedia general kwenye seniority za kijeshi
Mkuu hapo hawapo jeshini wapo uraiani na protocally ya kiraia iko tofauti. Halafu tambua seniority ya JWTZ iko tofauti na ya Polisi.
 
Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!

Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
Acha uongo wewe Brigedia ampigii salute hata IGP kawadanganye mafisi huko,unajua cheo cha Brigedia wewe ukubwa wake
 
Kamishina mkuu hawez kua juu ya brigedia general kwenye seniority za kijeshi
Mkuu taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa so taasisi ya kijeshi .hivyo watumishi wake wanatoka sector mbalimbali .ikiwepo police.jeshi.sheria.ICT.tiss .RAIA Wa taaluma mbalimbali. Kazibwa takukuru ni za kitaluma sio za kijeshi wala kipolisi
 
Back
Top Bottom