UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Yaani Brigedia General anakwenda kuwa chini ya Polisi?
Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!


Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
 
Kijuu ni meja jenerali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo la mkulu anaamini akimteua mtu kuwa brigedia, kamanda etc, kwenye masuala yanayotakiwa kutumia akili na wala sio nguvu ndio ataleta ufanisi. hata hivyo nampongeza kwa kazi zake.
 
Tunataka kazi tuu kwani yule aliyetuambia pesa ya eskro haina shda ni halali alikuwa wa wapi yule?

Ni uadilifu wa mtu kama mtu sio kanda wala nini. Unaweza ukapewa kazi hiyo hata nchi nyingine ukaifanya kwa uadilifu
 
Sijui naye atakuja na mtazamo wa kufukua au kutofukua makaburi!
 

Kwa hivyo tutarajie siku moja IGP Sirro kuja kwa CDF!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…