UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Hayo ni madaraka yanaghusa zaidi ufanisi katika carrier husika ondoa mawazo yako ya kuona kila alipo mwanajeshi basi yeye ni mkubwa kuliko wengine wanaomzunguka.

Ingekuwa ni hivyo basi hata mawaziri wao wangekuwa wanajeshi wenzao mbona yupo Hussein Mwinyi sijui hata Jkt alienda lakini wanampigia saluti jezi zima, wakienda kwa Makonda pale ILALA BOMA watapiga saluti tu akiwemo na mkubwa wao kabisa.

Serikali ni pana usijenge superiority na jeshi. Jeshi...ukafikiri wao wako juu ya kila mtu wale ni watumishi wa uma kama walivyo watumishi wengine wa uma, wao walichagua kazi hiyo na wengine walichagua kazi zingine mwisho wa siku bosi wao wote ni Rais na ndiye aliyeamua kumpa ukubwa wa Takukuru Mlowola na huyo mwingine kuwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mteule yeyote wa rais anaweza kupigiwa saluti kwa kuwa ni mteule wa rais. Saluti sio mamlaka, ni salamu tu na wala sio lazima.
 
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali, Advanced studies in Combat and military intelligence.
 
Yuko vizuri. Ila usirudie tena kuleta u-vyama kwenye hoja kama hii. Hata tusio na vyama tunayo haki ya kufahamu wasifu wa Mkurugenzi wetu Mkuu wa TAKUKURU.
 
Chadema wakimchukia mtu huomba CV yake. Watuwekee cv za Mbowe na sugu hapa.
 
Yuko vizuri. Ila usirudie tena kuleta u-vyama kwenye hoja kama hii. Hata tusio na vyama tunayo haki ya kufahamu wasifu wa Mkurugenzi wetu Mkuu wa TAKUKURU.
Umeufyata tu, mwenye haki ni yule anaemlipa mshahara, we ni mpiga kelele tu.
 
CV yake inatusaidia nini sisi wananchi? anakimbizana na rushwa za elfu 2 anacha akina Lugola
 
Hujui Mamsuala ya kijeshi we mjinga wewe. Luteni wa jeshi aweza kuwa mkubwa kuliko mlowola sembuse brigedier?Kachochee maharage acha kuchangia usiyoyajua
Luten ya maana mwenye nyota mbili ndo unamlinganisha na kamishina kweli luten si sawa kuruta tu wanalinda mageti huko jeshini ulizia vzr vyeo vya watu usikurupuke ficha ujinga wako
 
Luten ya maana mwenye nyota mbili ndo unamlinganisha na kamishina kweli luten si sawa kuruta tu wanalinda mageti huko jeshini ulizia vzr vyeo vya watu usikurupuke ficha ujinga wako
Kamishna ni mtu yeyote anapewa cheo na raisi sasa luteni huvikwa nyota hizo na raisi na Huwa wanapewa kamisheni na makamishna pia. Nguruwe wakike wewe usiyejua chochote
 
Hii sidhani kama watairudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…