Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Hapo kitaeleweka,Brg Gen Lawyer Ndani ya TAKUKURU opperational wise!!Safi sana mwanasheria wa JWT John Julius Mbungo..sasa tuchape kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kitaeleweka,Brg Gen Lawyer Ndani ya TAKUKURU opperational wise!!Safi sana mwanasheria wa JWT John Julius Mbungo..sasa tuchape kazi
Hayo ni madaraka yanaghusa zaidi ufanisi katika carrier husika ondoa mawazo yako ya kuona kila alipo mwanajeshi basi yeye ni mkubwa kuliko wengine wanaomzunguka.Naona umeshindwa kuona logic ya comment yangu.
Kwa vyovyote vile cheo cha Brig Gen ni kikubwa kijeshi ukilinganisha na Comissioner.
Kumbuka kuwa Taasisi ya Takukuru ilikuwa ikiongozwa na Brig Genera Kamazima hapo nyuma.
Kimsingi huyu Brig Gen Mbungo amepewa majukumu madogo kulingana na cheo chake, na kuwa chini ya mtu aliye chini kijeshi.
Hii inaweza leta figisu figisu!
Mteule yeyote wa rais anaweza kupigiwa saluti kwa kuwa ni mteule wa rais. Saluti sio mamlaka, ni salamu tu na wala sio lazima.Hayo ni madaraka yanaghusa zaidi ufanisi katika carrier husika ondoa mawazo yako ya kuona kila alipo mwanajeshi basi yeye ni mkubwa kuliko wengine wanaomzunguka.
Ingekuwa ni hivyo basi hata mawaziri wao wangekuwa wanajeshi wenzao mbona yupo Hussein Mwinyi sijui hata Jkt alienda lakini wanampigia saluti jezi zima, wakienda kwa Makonda pale ILALA BOMA watapiga saluti tu akiwemo na mkubwa wao kabisa.
Serikali ni pana usijenge superiority na jeshi... jeshi...ukafikiri wao wako juu ya kila mtu wale ni watumishi wa uma kama walivyo watumishi wengine wa uma, wao walichagua kazi hiyo na wengine walichagua kazi zingine mwisho wa siku bosi wao wote ni Rais na ndiye aliyeamua kumpa ukubwa wa Takukuru Mlowola na huyo mwingine kuwa msaidizi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wakimchukia mtu huomba CV yake. Watuwekee cv za Mbowe na sugu hapa.Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence
Umeufyata tu, mwenye haki ni yule anaemlipa mshahara, we ni mpiga kelele tu.Yuko vizuri. Ila usirudie tena kuleta u-vyama kwenye hoja kama hii. Hata tusio na vyama tunayo haki ya kufahamu wasifu wa Mkurugenzi wetu Mkuu wa TAKUKURU.
CV yake inatusaidia nini sisi wananchi? anakimbizana na rushwa za elfu 2 anacha akina LugolaKuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence
Luten ya maana mwenye nyota mbili ndo unamlinganisha na kamishina kweli luten si sawa kuruta tu wanalinda mageti huko jeshini ulizia vzr vyeo vya watu usikurupuke ficha ujinga wakoHujui Mamsuala ya kijeshi we mjinga wewe. Luteni wa jeshi aweza kuwa mkubwa kuliko mlowola sembuse brigedier?Kachochee maharage acha kuchangia usiyoyajua
Kamishna ni mtu yeyote anapewa cheo na raisi sasa luteni huvikwa nyota hizo na raisi na Huwa wanapewa kamisheni na makamishna pia. Nguruwe wakike wewe usiyejua chochoteLuten ya maana mwenye nyota mbili ndo unamlinganisha na kamishina kweli luten si sawa kuruta tu wanalinda mageti huko jeshini ulizia vzr vyeo vya watu usikurupuke ficha ujinga wako
Hii sidhani kama watairudia tenaBregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!
Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
Nowadays, yuko wapi???Rais John Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU).
Uteuzi huu unaanza rasmi leo.
View attachment 571632