UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Ni maoni yangu kwamba hicho cheo angemteua hata wakili wa kujitegemea

aliyebobea kwenye mashauri ya jinai ie grand coruption and fraud cases.

hicho cheo kinahitaji mzoefu wa makesi ya mahakamani niliyotaja

hapo juu
PCCB siyo mahakamani ndugu, PCCB kiutendaji ni sawa na kituo cha polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye taasisi ya upelelezi hauhitaji ujasusi, unahitaji knowledge ya upelelezi wa makosa ya jinai wa kitaaluma. sio ujasusi wa kijeshi, hapo takukuru kuna hadi waalumu, wanachunguza waalimu, wahasibu, wanachunguza wahasibu, wachunguzi wapo wa aina nyingi, hivyo ni taasisi isiyohitaji mtu anayetumia manguvu (jeshi) bali ujuzi wa akili kumkichwa, unaijua takukuru lakini? ndo maana wanafanya kazi hata luck up ya kuweka mahabusu wanaowakamata hawana, ni kwasababu ni taasisi inayotakiwa kutumia akili sio nguvu. upo hapo?
Mkuu baadhi hawaelewi hata mandates za PCCB, wasemehe bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Commissioner wa Polisi ni sawa na Maj Gen....hivyo ni sawa kwa Brig kuwa chini ya Commissioner wa polisi.

Kuna Vichaa humu walikuwa wanababaika na Neno Bregadier General wakadhani hawawapigii Salute Full Commisioners wa Tanzania Police force.
 
Kuna sehemu nimesoma, nafikiri ni Katiba ya JMT. Viongozi wenye diplomatic passports ni wengi wakiwemo Commissioner of Police(CP), Kamishina wa Magereza, Kamishina wa Zimamoto, Meja Jenerali na Kuendelea. Hawa wanakuwa na diplomatic status mpaka wanaingia kaburini. Hakuna Brigedia Jenerali mwenye diplomatic status kwenye katiba.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuruta wengi hawajui mambo mengi.

Yaani wapo wapo tu.
 
Commissioner of Police ni sawa na Luteni Usu wa JWTZ!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat

Sawa kivipi, uzito wa mwili, kijinsia au umri? fafanua
 
Tafsiri ya neno jeshi kwa kiingereza.

Tafsiri ya neno Jeshi kwa Kiingereza ni Forces
Mf.

JWTZ inaitwa Tanzania People's defense Forces
Jeshi la Polisi linaitwa Tanzania Police Forces

Haya Tengeneza hoja uliyotaka kutengeneza kutoka kwny Tafsiri hiyo!
 
Hivi kwa nini ubishani na kulinganisha majeshi Ni kwa polisi na jwtz tu kwa nini isiwe jwtz na majeshi mengine kama magereza nk au polisi na majeshi mengine
 
Tafsiri ya neno Jeshi kwa Kiingereza ni Forces
Mf.

JWTZ inaitwa Tanzania People's defense Forces
Jeshi la Polisi linaitwa Tanzania Police Forces

Haya Tengeneza hoja uliyotaka kutengeneza kutoka kwny Tafsiri hiyo!
Kama force ni jeshi, military ni nini? Military force ni nini?
 
Kama force ni jeshi, military ni nini?

Acha Maswali ya Kitoto,
Nimekupa mpaka mifano ya JWTZ na Jeshi letu la Polisi kutumia neno Forces tunapotamka kwa Kiingereza!

Tanzania People's defense forces na Tanzania Police Forces

Nilijua uelewa wako ni mdogo sana tangu awali Ndio sababu nikakufundisha kuwa Kamishna ni Cheo cha Kijeshi ukabisha kwa kuwa umekariri Jeshi ni JWTZ, pekee!
Nikakupa Mfano Mwingine kuwa Mkuu wa Majeshi yetu kwa Kiingereza ni Chief of Defence Forces itoshe kujua kuwa kuna Majeshi Mengi Ndio sababu anaitwa Mkuu wa Majeshi sio Mkuu wa Jeshi.

JF ni kisima cha Elimu naamini umeelimika Leo kuwa Jeshi Maana yake sio JWTZ pekee japo utakuwa ngumu kukiri!
 
Back
Top Bottom