UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!

Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
Full kamishna ndio cheo gani cha kijeshi? unavijua vyeo vya kijeshi wewe?
 
ACP, SACP, DCP and CP!

Tukisema Ma Kamishna wa Jeshi la Polisi Basi hata Assistant Commissioner ni Kamishna atajitokeza lakin ikitamkwa Full Commusioner Basi hata SACP na DCP hawahusiki hapo anahitaji CP na itatamkwa full kumtofautisha na wale na Assistant na na Deputy!
 
Yaani burgedia jeneral anaenda kuwa chini ya mtu ambae ni cheo cha RPC tu,kiprotoko burigedia ni mtu mkubwa zaidi ya huyo boss wa pccb maana mlowa alikua kamishina msaidizi wa polisi.Hapa uteuzi huu haujakaa vema

Sent using Jamii Forums mobile app
Commissioner of Police ni sawa na Luteni Usu wa JWTZ!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
ACP, SACP, DCP and CP!

Tukisema Ma Kamishna wa Jeshi la Polisi Basi hata Assistant Commissioner ni Kamishna atajitokeza lakin ikitamkwa Full Commusioner Basi hata SACP na DCP hawahusiki hapo anahitaji CP na itatamkwa full kumtofautisha na wale na Assistant na na Deputy!
Hivyo ni vyeo vya kipolisi.
 
Hivi jeshi nacpolisi huwa ni kundi gani huko kwenu linaomba hizo nafasi? Huku kwetu ni wale 4 na 6 ambao walipata division 1 ya point 3 na saba tu. Full cream lakini huko kazi wanazipewa sasa nyingi ni kutumia nguvu
 
Full kamishna ndio cheo gani cha kijeshi? unavijua vyeo vya kijeshi wewe?

Watu wote wa Vijiweni wakisikia Jeshi Basi akili zao zote zinahamia JWTZ, hawajui hata Zimamoto ni Jeshi!

CDF Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi sio Mkuu wa Jeshi hivyo nikisema Kamishna ni Cheo cha Kijeshi usistuke Mkuu kwa kuwa Polisi nao ni Wanajeshi japo sio wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ)
 
Kuna sehemu nimesoma, nafikiri ni Katiba ya JMT. Viongozi wenye diplomatic passports ni wengi wakiwemo Commissioner of Police(CP), Kamishina wa Magereza, Kamishina wa Zimamoto, Meja Jenerali na Kuendelea. Hawa wanakuwa na diplomatic status mpaka wanaingia kaburini. Hakuna Brigedia Jenerali mwenye diplomatic status kwenye katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukabila na ukanda kwenye teuzi......za awamu ya 5....
 
Watu wote wa Vijiweni wakisikia Jeshi Basi akili zao zote zinahamia JWTZ, hawajui hata Zimamoto ni Jeshi!

CDF Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi sio Mkuu wa Jeshi hivyo nikisema Kamishna ni Cheo cha Kijeshi usistuke Mkuu kwa kuwa Polisi nao ni Wanajeshi japo sio wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ)
Watu wa vijiweni ndio waliowajaza ujinga huo. Jeshi linaitwaje kwa kiingereza?
 
Kuna sehemu nimesoma, nafikiri ni Katiba ya JMT. Viongozi wenye diplomatic passports ni wengi wakiwemo Commissioner of Police(CP), Kamishina wa Magereza, Kamishina wa Zimamoto, Meja Jenerali na Kuendelea. Hawa wanakuwa na diplomatic status mpaka wanaingia kaburini. Hakuna Brigedia Jenerali mwenye diplomatic status kwenye katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo sahihi Mkuu, halafu bado kuna watu wanamlinganisha Bregadier General na Kamishna, hawajui kuwa kina Kamishna Tibaigana na Kamishna Kova japo wamestaafu wanapigiwa Salute mpaka leo na kuanzia Private mpaka Bregadier General
 
Watu wote wa Vijiweni wakisikia Jeshi Basi akili zao zote zinahamia JWTZ, hawajui hata Zimamoto ni Jeshi!

CDF Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi sio Mkuu wa Jeshi hivyo nikisema Kamishna ni Cheo cha Kijeshi usistuke Mkuu kwa kuwa Polisi nao ni Wanajeshi japo sio wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ)
Nimeona uko mweupe kwenye hii tasnia....
 
Commissioner wa Polisi ni sawa na Maj Gen....hivyo ni sawa kwa Brig kuwa chini ya Commissioner wa polisi.

Back
Top Bottom