Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL);
ii. Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO);
iii. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Salim Milanzi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania;
iv. Balozi Valentino Longino Mlowola ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano (UCSAF);
v. Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo (TEMDO); na
vi. Prof. Neema Mori ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kipindi cha pili.
Soma Pia: Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge