Si ni kama hao hao polisi tu, kwani kuna tofauti gani mbali ya polisi kuwa na mitutu ya bunduki?Kwa CCM waalimu ni vyombo vya kufanyia kazi kama mifagio tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ni kama hao hao polisi tu, kwani kuna tofauti gani mbali ya polisi kuwa na mitutu ya bunduki?Kwa CCM waalimu ni vyombo vya kufanyia kazi kama mifagio tu.
Sija chukua upande Hadi sasa hiviWewe umejuaje wanamtaka?
Kwani hawa Wenyeviti huwa wana Business Management skills zozote zaidi kujua protocol za kiserikali!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL);
ii. Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO);
iii. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Salim Milanzi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania;
iv. Balozi Valentino Longino Mlowola ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano (UCSAF);
v. Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo (TEMDO); na
vi. Prof. Neema Mori ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kipindi cha pili.
Soma Pia: Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge
mzee mmoja smart sana. alikua EPZA. ila sijui kwanini wanarudishwa waliokwisha kustaafu na kupumzikaHuyu Simbakalia vipi?
Anajikomba kwa wastaafu;anateua Wazee kuongoza Mashirika alafu baadaye anasema yanaingiza hasara.Bibi kavurugwa,angeapishwa tu Dr Mpango alafu 2025 tutakuja nini cha kufanya!!Mimi nauliza swali tofauti, huenda wewe unaweza kusaidia jibu.
Kati ya hao walio teuliwa ni wangapi ni kutoka polisi; akina Mulilo?
Hivi hawa huwa wanakwenda wapi baada ya kustaafu? Kuwa wenye viti wa chama cha CCM bila shaka!
Kuhusu "kupoteza mvuto" kusikufanye kupoteza umakini na lengo.
Huyu anazo dalili zote za kung'ang'ania kubaki madarakani kwa nguvu. Hata kama huko ndani ya CCM kwenyewe hawamtaki; atawavuruga sana ari mradi aendelee kushika madaraka 2025.
Wakati ni huu sasa kuweka mikakati ya kuzuia uhayawani huo.
Tanzania itakuwa ni nchi mbovu kupindukia iwapo kutakuwepo na miaka mitano ya huyu mwanamke. Atafanya uharibifu mkubwa sana.
Shida yanaendeshwa kisiasa,yaani watu wakistaafu ndiyo wanapewa waendeshe Mashirika,kazi kweli kweli!!!Hayo mabodi na hayo mashirika ni hasara tupu kwa nchi.
Nina kufahamu vizuri mkuu 'august'. Ni kati ya wale wanaokaa kwenye "fensi" wakati wote hata katika maswala yaliyo dhahiri.Sija chukua upande Hadi sasa hivi
Kuna mkeka wa ma rc Unatoka karibuniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL);
ii. Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO);
iii. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Salim Milanzi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania;
iv. Balozi Valentino Longino Mlowola ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano (UCSAF);
v. Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo (TEMDO); na
vi. Prof. Neema Mori ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kipindi cha pili.
Soma Pia: Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge
Kwenye hili sijachukua upande Kwa sababu bado sijaziona, ama sivyo , nitaeleza ninacho kiona kilicho Bora kwa Taifa na sio kwa mtu binafsi.Nina kufahamu vizuri mkuu 'august'. Ni kati ya wale wanaokaa kwenye "fensi" wakati wote hata katika maswala yaliyo dhahiri.
Sasa sijui kwa nini huwa namna hiyo na watu wa aina hiyo; pamoja na kwamba ni haki yao.
Hicho hicho, ndicho kinacho tuliza kila siku humu; siyo kumlilia mtu yeyote.nitaeleza ninacho kiona kilicho Bora kwa Taifa
Kwa mantiki hiyo huu uteuzi Una ulakini. Tueleze Tu tutakuelewa ukiwa una vigezo vya kuona huo ulakiniHicho hicho, ndicho kinacho tuliza kila siku humu; siyo kumlilia mtu yeyote.
Kwa hiyo si kweli kwamba "huna upande wowote".
Vipi kuhusu Nini??Huyu Simbakalia vipi?
Mkuu 'August', imenilazimu nirudi nyuma kutazama ni wapi nilipo andika kuonyesha kwamba naona "kuna ulakini kwenye uteuzi ulio fanywa" kama unavyo dai wewe hapa.Kwa mantiki hiyo huu uteuzi Una ulakini. Tueleze Tu tutakuelewa ukiwa una vigezo vya kuona huo ulakini
Tulia wewe, sasa mama anamalizia tu awamu ya mgalatia, 2025 mpaka 35 ndio zamu rasmi ya muislamu,Anajikomba kwa wastaafu;anateua Wazee kuongoza Mashirika alafu baadaye anasema yanaingiza hasara.Bibi kavurugwa,angeapishwa tu Dr Mpango alafu 2025 tutakuja nini cha kufanya!!
Nafikiri Sasa umefika wakati muafaka kabisa kwa Tanzania na Wananchi wa nchi hii kufanya TATHMINI YA KINA juu ya TIJA, FAIDA na HASARA ambayo Wananchi wengi zaidi wa Nchi hii wanayopata kutokana na hizi TEUZI za mara kwa Mara zinazofanywa na Mkuu wa nchi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL);
ii. Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO);
iii. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Salim Milanzi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania;
iv. Balozi Valentino Longino Mlowola ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano (UCSAF);
v. Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo (TEMDO); na
vi. Prof. Neema Mori ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kipindi cha pili.
Soma Pia: Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge
Mlowola ni polisiMimi nauliza swali tofauti, huenda wewe unaweza kusaidia jibu.
Kati ya hao walio teuliwa ni wangapi ni kutoka polisi; akina Mulilo?
Hivi hawa huwa wanakwenda wapi baada ya kustaafu? Kuwa wenye viti wa chama cha CCM bila shaka!
Kuhusu "kupoteza mvuto" kusikufanye kupoteza umakini na lengo.
Huyu anazo dalili zote za kung'ang'ania kubaki madarakani kwa nguvu. Hata kama huko ndani ya CCM kwenyewe hawamtaki; atawavuruga sana ari mradi aendelee kushika madaraka 2025.
Wakati ni huu sasa kuweka mikakati ya kuzuia uhayawani huo.
Tanzania itakuwa ni nchi mbovu kupindukia iwapo kutakuwepo na miaka mitano ya huyu mwanamke. Atafanya uharibifu mkubwa sana.
TEMDO hata sioni kazi yaoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo: