UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi za TTCL, ATCL, NARCO, POSTA, UCSAF na TEMDO | Septemba 25, 2024

Kwani hawa Wenyeviti huwa wana Business Management skills zozote zaidi kujua protocol za kiserikali!!
 
Huyu Simbakalia vipi?
mzee mmoja smart sana. alikua EPZA. ila sijui kwanini wanarudishwa waliokwisha kustaafu na kupumzika
kuna rafiki yangu alienda ofisini kwake amsaidie ajira kwa sababu ni washkaji na baba yake. mzee akampa kazi ya kulipwa laki 120. meneja akamuita mshkaji akamuuliza huyu kweli anko wako?
 
Anajikomba kwa wastaafu;anateua Wazee kuongoza Mashirika alafu baadaye anasema yanaingiza hasara.Bibi kavurugwa,angeapishwa tu Dr Mpango alafu 2025 tutakuja nini cha kufanya!!
 
Sija chukua upande Hadi sasa hivi
Nina kufahamu vizuri mkuu 'august'. Ni kati ya wale wanaokaa kwenye "fensi" wakati wote hata katika maswala yaliyo dhahiri.
Sasa sijui kwa nini huwa namna hiyo na watu wa aina hiyo; pamoja na kwamba ni haki yao.
 
Kuna mkeka wa ma rc Unatoka karibuni
 
Nina kufahamu vizuri mkuu 'august'. Ni kati ya wale wanaokaa kwenye "fensi" wakati wote hata katika maswala yaliyo dhahiri.
Sasa sijui kwa nini huwa namna hiyo na watu wa aina hiyo; pamoja na kwamba ni haki yao.
Kwenye hili sijachukua upande Kwa sababu bado sijaziona, ama sivyo , nitaeleza ninacho kiona kilicho Bora kwa Taifa na sio kwa mtu binafsi.
 
Ni kwanini Wenyeviti huwa wazee watupu tu?
Huwezi kuona vijana au ni sehemu za kusubiria mwendo
 
Hicho hicho, ndicho kinacho tuliza kila siku humu; siyo kumlilia mtu yeyote.

Kwa hiyo si kweli kwamba "huna upande wowote".
Kwa mantiki hiyo huu uteuzi Una ulakini. Tueleze Tu tutakuelewa ukiwa una vigezo vya kuona huo ulakini
 
Kwa mantiki hiyo huu uteuzi Una ulakini. Tueleze Tu tutakuelewa ukiwa una vigezo vya kuona huo ulakini
Mkuu 'August', imenilazimu nirudi nyuma kutazama ni wapi nilipo andika kuonyesha kwamba naona "kuna ulakini kwenye uteuzi ulio fanywa" kama unavyo dai wewe hapa.
Mimi sijaona popote nilipo fanya madai hayo; kwa hiyo inaonyesha wazi kuwa pengine hukuelewa ulicho soma, au kwa fikra zako tu ume amua kuhusisha maoni yangu na swala hilo la uteuzi; ambayo haikuwa lengo langu.
Hii ina maana unao upande unaovuta maoni yako licha ya kudai huna upande.
 
Anajikomba kwa wastaafu;anateua Wazee kuongoza Mashirika alafu baadaye anasema yanaingiza hasara.Bibi kavurugwa,angeapishwa tu Dr Mpango alafu 2025 tutakuja nini cha kufanya!!
Tulia wewe, sasa mama anamalizia tu awamu ya mgalatia, 2025 mpaka 35 ndio zamu rasmi ya muislamu,
Bado mtasubiri sana😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
 
Nafikiri Sasa umefika wakati muafaka kabisa kwa Tanzania na Wananchi wa nchi hii kufanya TATHMINI YA KINA juu ya TIJA, FAIDA na HASARA ambayo Wananchi wengi zaidi wa Nchi hii wanayopata kutokana na hizi TEUZI za mara kwa Mara zinazofanywa na Mkuu wa nchi.
Teuzi ni nyingi sana kupita kiasi, Je, hizi Teuzi zina maslahi gani yaliyo mapana zaidi kwa Wananchi wengi zaidi wa Nchi hii?
Upembuzi Yakinifu wa kina sana unapaswa kufanyika ili kujua Hasara halisi na Faida halisi zitokanazo na TEUZI hizi za mara kwa mara
 
Mlowola ni polisi
 
TEMDO hata sioni kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…