Safi Sana Mama kaziiendeleeRais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
My take
Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa
jitahidi basi mkuu kuyafichaga haya yako!! eee!Tumuulize mteuliwa Yeye aliusomea wap huo uchancellor!!
Ahakikishe sasa ndani ya miaka hii 6 mingine chuo cha Udsm muchas-Mbeya kinajengwa na hospital yake ya kufundishia.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
My take
Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa
2022- Kazi iendelee
View attachment 2064221