Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee Yuko poah sana yule, atalisolve hilo!
2022- kazi iendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee Yuko poah sana yule, atalisolve hilo!
2022- kazi iendelee
Ninachojua kikwete 2022 ndiyo mwisho wake. (RIP In Advance)Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
My take
Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa
2022- Kazi iendelee
View attachment 2064221
Ingizo la vijana wadogo waliograduate si salama katika mfumo wao wa kiuongozi kwakuwa vijana wengi walioelimika hawako upande wa CCM, ndomaana katika sekta mbalimbali nyeti za kiserikali (TISS, PSU, POLICE, BENKI KUU, BANDARI na kwingineko) imewalazimu kujaza vijana wa UVCCM ambao wengi wao ni incompetent.Kwan inashindikana vipi kuwateuwa vijana waliograduate ambao wako mitaan badala ya kuwakumbatia hao wazee kila siku ambao akili zao zilishajichokea.
JIbu untakalopata[emoji117] ni kuwa wao wenye nchi wanaamini hakuna mwanachuo kijana wa kuaminika kupewa madaraka ama nguvu ktk siasa ama vyeo ktk ajira kwakuwa vijana wenyew hawa waliopo ni aina ya Wale wa mirinda nyeusi[emoji23], wabetiji, waliokubuhu kwenye ulevi na ushenz wa kila aina, so acha wazee waendelee kulaa bata,.
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya yule alieanzisha mfumo wa ukitaka ajira, onesha uzoefu wa miaka10 [emoji23][emoji23]
Amen.Ninachojua kikwete 2022 ndiyo mwisho wake. (RIP In Advance)
sina chuki naye lakini prophecy inasema hivyo..
kusudi mambo yafunguke na mengineyo yaende ni lazima AFE
Mbona mnateuana nyie tu mnajirudia rudia kila mara,ina maana sisi degree zetu hamzioni?Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
My take
Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa
2022- Kazi iendelee
View attachment 2064221
Ndiomaana huko vyuoni unawakuta vjana wengi wanamilik kadi za ccm, ukiwauliza why wanakujibu ''tunarahisisha connection ya ajira baadae" hapo ndipo unagundua kumbe hii nchi ni ya wachache wa upande fulan ulioshika nchi[emoji23].Ingizo la vijana wadogo waliograduate si salama katika mfumo wao wa kiuongozi kwakuwa vijana wengi walioelimika hawako upande wa CCM, ndomaana katika sekta mbalimbali nyeti za kiserikali (TISS, PSU, POLICE, BENKI KUU, BANDARI na kwingineko) imewalazimu kujaza vijana wa UVCCM ambao wengi wao ni incompetent.
Madhara yake sitaki kuyazungumza maana kila mwenye akili timamu anaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii trick wakat mwingine huwa ni kusudi kabisa hasa nyakat za mikopo kwenye bodi ya mikopo elimu ya juu!!Ndiomaana huko vyuoni unawakuta vjana wengi wanamilik kadi za ccm, ukiwauliza why wanakujibu ''tunarahisisha connection ya ajira baadae" hapo ndipo unagundua kumbe hii nchi ni ya wachache wa upande fulan ulioshika nchi[emoji23].
Ndiomaana kuna wale wanao dai katiba ili kuondoa haya mambo yakipuuzi.Hii trick wakat mwingine huwa ni kusudi kabisa hasa nyakat za mikopo kwenye bodi ya mikopo elimu ya juu!!
Ninao ushahidi, mtu hadi uko Mwaka wa 3 hujapata mkopo, unaaambiwa bila kadi ya Kijani hulambi mkopo. , Inabid unachukua , m/kit na katib wanafanya mchakato unapata mkopo!!!
Wengi wana kadi za CCM ila unaskin tu Mkuu
Yaani tukuchague wewe na ulevi wako kuwa chancellorKwan inashindikana vipi kuwateuwa vijana waliograduate ambao wako mitaan badala ya kuwakumbatia hao wazee kila siku ambao akili zao zilishajichokea.
JIbu untakalopata[emoji117] ni kuwa wao wenye nchi wanaamini hakuna mwanachuo kijana wa kuaminika kupewa madaraka ama nguvu ktk siasa ama vyeo ktk ajira kwakuwa vijana wenyew hawa waliopo ni aina ya Wale wa mirinda nyeusi[emoji23], wabetiji, waliokubuhu kwenye ulevi na ushenz wa kila aina, so acha wazee waendelee kulaa bata,.
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya yule alieanzisha mfumo wa ukitaka ajira, onesha uzoefu wa miaka10 [emoji23][emoji23]
Hamtaweza na utakufa wewe utamuachaNinachojua kikwete 2022 ndiyo mwisho wake. (RIP In Advance)
sina chuki naye lakini prophecy inasema hivyo..
kusudi mambo yafunguke na mengineyo yaende ni lazima AFE
Rudi kwenu Chattttle mpaka chooni kuna barabaraKikwete alitakiwa atujengee chuo kikubwa Sana huku Baga moyo sijui alifeli wapi.
Hata Barabara ya kuunganisha wilaya ya kibaha na bagamoyo ameshindwa kujenga
Ni bora kumchagua mlevi kulko jambazi na kiongozi takataka asiejali maisha ya masikini, hiv unajuwa kuwa walevi ndio watu wenye huruma sana na ushirikiano ktk kundi lote la wanywaji?Yaani tukuchague wewe na ulevi wako kuwa chancellor
Tuuze chuo sasa
Ndugai kasema degree zenu hazina maana bora class 7 ana maadili akiambie kalime anaenda ila degree holder mnashinda mitandaoni kutukana wazee msahau kupata teuzi labda mbadili tabia zenu za mitandaoni kutukana wazee na CcmMbona mnateuana nyie tu mnajirudia rudia kila mara,ina maana sisi degree zetu hamzioni?