Niliwahi kusema humu kwamba ubunge tastes sweeter than being ambassador, Rc, au Dc..na ndio maana tumeshuhudia akina Gambo au Pindi chana wakipgana vikumbo kuutaka u-MP..nilisema hvo kuwajibu waliokuwa wakinanga kwamba 'Mama amnyima polepole teuzi' Watu wanapenda kujisahaulisha!