Kabla hata hajaondoka Dodoma ashabakishwa Dodoma...ndio maana machawa wanapambana sana kuingia kwenye mfumo..Kulaleki, ukishiba huku, unapakuliwa kwingine, mwendo wa kula tu keki ya Taifa...
Unajua maana ya kuwa "Mkuu wa Chuo Kikuu" lakini?Kabla hata hajaondoka Dodoma ashabakishwa Dodoma...ndio maana machawa wanapambana sana kuingia kwenye mfumo..
Kobaz mnaendelea tu kulamba teuzi kwa fujo. Ndo wakati wenu huu it's now or never.Wakuu,
Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Professor Ibrahim Hamis Juma ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Aidha, Dkt. Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Balozi. Dkt. Mwapinga ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR).
View attachment 3388406
Tangu muanze kusoma hamjagundua kitu zaidi ya kaujiriwa kwenye NGO's basi tutachukua nchi yetuKobaz mnaendelea tu kulamba teuzi kwa fujo. Ndo wakati wenu huu it's now or never.
adriz Tanganian hydroxo Adiosamigo
Nisawa na unaniuliza unajua maana ya kuwa mfalme au malkia wa uingereza ? Yes ninajua na anapata maokoto mengi sana bila kufanya kazi yeoyote ya maana.Unajua maana ya kuwa "Mkuu wa Chuo Kikuu" lakini?
Ahahahahaha! Kwahiyo hutaki apate maokoto au hutaki kuwepo hicho cheo?Nisawa na unaniuliza unajua maana ya kuwa mfalme au malkia wa uingereza ? Yes ninajua na anapata maokoto mengi sana bila kufanya kazi yeoyote ya maana.
Wazee hawa, wakistaafu urumishi, richa ya, kuwa, na, pensheni no no, na, marupurupu, wanatafutiwa sehemu ya kwenda kuzeekea huku wanalipwa! Ila, wale wa kada za, china kama waalimu, polisi,ukistaafu, unapigwa kikokotoo, harafu unashauliwa uweke pesa zako UTT,Wakuu,
Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Professor Ibrahim Hamis Juma ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Aidha, Dkt. Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Balozi. Dkt. Mwapinga ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR).
View attachment 3388406
🤣😂😂😂😂😄😄😂😁😁Ndiyo UkweliWazee hawa, wakistaafu urumishi, richa ya, kuwa, na, pensheni no no, na, marupurupu, wanatafutiwa sehemu ya kwenda kuzeekea huku wanalipwa! Ila, wale wa kada za, china kama waalimu, polisi,ukistaafu, unapigwa kikokotoo, harafu unashauliwa uweke pesa zako UTT,
Akapumzike kama amestaafu kuna watu wengi pia wanapaswa kufaidi mema ya nchi...hii cake sio yao tu.Ahahahahaha! Kwahiyo hutaki apate maokoto au hutaki kuwepo hicho cheo?
Hao Ni Ponjoro TypeLucas Mwashambwa ndugu yangu wewe mbona hawakuoni?, au umewekwa kando kama Wakili Msomi Pascal Mayalla ?
Kamtoe kwa nguvu!Akapumzike kama amestaafu kuna watu wengi pia wanapaswa kufaidi mema ya nchi...hii cake sio yao tu.
Keki ya taifa ni tamu sanaKulaleki, ukishiba huku, unapakuliwa kwingine, mwendo wa kula tu keki ya Taifa...
Hahaha Ila wewe jamaa natamani kukufahamu. Kuna siku ulijisahau kwenye comment yako flan hivi eti unakutanaga na mwana fa kina siku. Ntakushika Tu.Tangu muanze kusoma hamjagundua kitu zaidi ya kaujiriwa kwenye NGO's basi tutachukua nchi yetu